Ndugu wana jamvi taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa raiskuna baadhi ya watu wamejifungi mahali wakijadili vipaumbele sita ambavyo rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania aliviainisha ambavyo miongoni mwake ni kilimo, nishati, elimu na n.k
Hivyo basi hawa watu wanafanya upembuzi yakinifu ya nini kifanyike ili taifa liweze kusogea kutoka hapo lilipo kwa maana ya kuwa kufikia mwaka 2025 tuwe tumeweza kufikia malengo ya tanzania vision
Kwangu mimi naliona ya kuwa ni jambo jema kwani hata nchi za asia kwa mfano malysia, singapore, phillipes waliweza kutambua vipaumbele ambavyo ndivyo walivyoanza navyo hadi kuwafikisha hapo walipo hii leo
Swali langu ambalohadi leo najiuliza kwa huyu rais wetu ni kuwa kwa kipindi chote hicho ambacho alikuwa madarakani kipaumbele au vipaumbele vyake ilikuwa ni nini kwa sababu kama hii leo ndo tunaambiwa ya kuwa rais ameainisha vipaumbele ambavyo vinatakiwa kufanyiwa kazi wakati umebakia mwaka mmoja wa uongozi wake maana yake ni kuwa hakuwa na vipaumbele au kipaumbele chochote katika uongozi wake wote wa miaka tisa aliyokaa madarakani
Lakini pia hawa watu waliochukuliwa kwa lengo la kwenda kufanya upembuzi yakinifu ni vigezo gani v ilivyotumika kuwapata watu hawa?
Kazi hii itafanyika kwa muda wa wiki sita
source: mimi mwenyewe