Vipaumbele vyetu

Vipaumbele vyetu

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Wanabaraza nimewazua kuhusu vipaumbele halisi tunavyoviendekeza sisi kama Watanzania

1.ULALAMISHI (ilhali tangu tuanze kulalamika hatujapata suluhisho)
2.RUSHWA (katika tafsiri na aina zote za rushwa)
3.NIDHAMU YA UOGA (kwa minajili ya kulinda kitumbua kisiingie mchanga)
4.MAJIBU MEPESI KWA MASWALI MAGUMU
5.KUMPINGA SHETANI KWA MANENO NA KUMKUMBATIA KIVITENDO
6.KURIDHIKA TUKITARAJI SHETANI ATABADILIKA SIKU MOJA KUWA MALAIKA WA NURU
7.KUPIGA SOGA ZISIZO NA TIJA
8.NGONO (tena ngono zembe kweli kweli)
9.KUPENDA UMAARUFU (hata ukiwa ni wa kijuha)
10.UONGOZI (ingawa tumeshindwa kuongoza familia zetu kuwa ktk maadili na utu)
11.WIZI (wa aina zote)
12.UONGO (bila kujali athari zake)
13.VISINGIZIO (visivyo na mashiko yeyote)
14.KUKURUPUKA (mf: angalia watu wanavyokurupuka ikipigwa mbinja ya mwivi… hawareason)
15.KUKATAA KUKOSOLEWA
16.KUAMINI KWAMBA MUNGU ATASHUKA NA KUYAONDOA MATATIZO YETU SIKU MOJA.


orodha iendelee.....
 
All these is our nature, without those characters it proofs that we're not on earth, unless we have intered into the paradise already.
 
but it has to stop if we mean to keep on going...
 
but it has to stop if we mean to keep on going...

Msanii, mbona na wewe umeorodhesha maoni kuhusu mapungufu yetu bila kupendekeza dawa? It has to stop? .. yes ... but how do you get it to stop? Give us your social engineering solution. We have a collective societal problem which needs solutions. That is the challenge.
 
Msanii,

You got it right dude can't add anymore!
 
Back
Top Bottom