Kokwa kavu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 220
- 41
nilianza kutokewa na vipelele kwenye vidole ambavyo kukiwa na joto vinawasha nikaanza kutumia cream kama gentrizone lakin havikuisha nikawa naogoe detol lakin wapi nikaenda hospital doctor akasema nipime mpaka kaswendwe kwenda kuchukua majibu asubuh negative nikamkuta doctor mwngne akanipa cetrizen antibiotics na dawa ya maji ya kupaka vikaisha ila baada ya muda vikarud tena kuwasha kukazid vikawa vingi kwenye mapaja na kwenye na kwenye kichwa cha uume vikatoka vyekund vikubwa vinawasha kwel na kutoa maji ucku ndo hua vinawasha sana nicpo lala kwenye feni nitajikuna ucku kucha nikaenda hospital nyngne akanipa sawa nyngne na ya fungus ya kupaka lakin havijaisha now vimetoka vikubwa kwenye miguu kwasababu navaa socks na viatu cku nzima vinaisha kunabaki muwasho nikikuna vinatoka vingne tena nimepiga picha muone vimetokea mkonon na mguun vikubwa naomba ushaur nopate tiba maana vinaninyima raha