S skatt Member Joined Aug 5, 2012 Posts 10 Reaction score 0 Dec 20, 2013 #1 wadau naombeni msaada ninasumbuliwa na vipele kisogoni nina zaidi ya mwaka nimepata hivi vipele nimetumia dawa nyingi sana bila ya mafanikio mwenye ufahamu wa dawa ya vipele hiyo naomba msaada
wadau naombeni msaada ninasumbuliwa na vipele kisogoni nina zaidi ya mwaka nimepata hivi vipele nimetumia dawa nyingi sana bila ya mafanikio mwenye ufahamu wa dawa ya vipele hiyo naomba msaada
komeka JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 1,072 Reaction score 403 Dec 20, 2013 #2 Mkuu angslia ivo vipele ucje kuvipasua utatokea linyams kisogoni nadhani ushaonaga watu wana linyams kisogon sasa source inakuwaga ivo vipele
Mkuu angslia ivo vipele ucje kuvipasua utatokea linyams kisogoni nadhani ushaonaga watu wana linyams kisogon sasa source inakuwaga ivo vipele