Mzizimkavu vipi ?! Nawe umegoma ?!
SAmahani Mkuu DAWA YA SIKIO ndio kwanza ninaiona hii thread ya huyu mkuu.@mareche Dawa ya Vipele chukuwa kitunguu Sumu akitwange mpaka kiwe laini kisha Uchukuwe maji ya moto uoshe sehemu zenye vipele ufanye kama anasugua kwa kutumia hicho kitunguu saumu kwa uwezo wa mungu utapona inshallah.Tumia kisha unipe feedback.
Mkuu Msingida tumia itakusaidia inshallah.......Mh.Mzizi mkavu,dawa hii inasaidia vipele kisogoni?vinawasha ile mbaya,na vinaongezeka siku hadi siku!