Jeff JF-Expert Member Joined Sep 26, 2009 Posts 1,293 Reaction score 200 Feb 24, 2013 #1 wadau naomba msaada wa jinsi ya kukomesha vipele usoni, na apia jinsi ya kuondoa mabaka meusi usoni, Je kuna uwezekano wa kuzuia au kupunguza kasi ya ndevu kuota? msaada wenu tafadhali
wadau naomba msaada wa jinsi ya kukomesha vipele usoni, na apia jinsi ya kuondoa mabaka meusi usoni, Je kuna uwezekano wa kuzuia au kupunguza kasi ya ndevu kuota? msaada wenu tafadhali