Haya MziziMkavu njoo huku kuna mtu ana vipele na vijipu na mwili unamuwasha sana.Mara watu wanasema Maji wengine vipele vya joto Na kila Mtu anasema yake, Basi Mtu unajikuna wee Na sometime vinadevelop vijipu si Watoto si watu wazima Nyumba mzima mnashambuliwa Tiba hasa ni Nini Dr
.Haya MziziMkavu njoo huku kuna mtu ana vipele na vijipu na mwili unamuwasha sana.
mimi nahisi ni eczema au alergy-tafuta E45 lotion upake ila mtafute MziziMkavu atakusaidiaMara watu wanasema Maji wengine vipele vya joto Na kila Mtu anasema yake, Basi Mtu unajikuna wee Na sometime vinadevelop vijipu si Watoto si watu wazima Nyumba mzima mnashambuliwa Tiba hasa ni Nini Dr
Mkuu georgeallen Hapo umenifurahisha sana toa dawa sio kupinga Mkuu samahani kama nimekukwazamimi nahisi ni eczema au alergy-tafuta E45 lotion upake ila mtafute MziziMkavu atakusaidia
Mkuu georgeallen Nimsha mpa dawa hajakwambia kwani? muulize.@TAMKO atakwambia.Haya MziziMkavu njoo huku kuna mtu ana vipele na vijipu na mwili unamuwasha sana.
Ndo ipoje hiyo?kama ni family yote hiyo probably ni eczema ya scabies mite ,anyway muone dermatologst