Samahani nimetokewa na viple vdgo sehemu lakini ni kwenye mashavu ya sehemu siri vinauma sana kilianza upande wa kushto baadae kikja kikapasuka maumivu yamezid mno na leo asubuhi nimeqngalia naona vmetokea na upnde wa kulia lakin hvjapasuka bado je hii ji nini na tiba yake nini?? Nilijaribu kugoogle nikaona kma wanaita genital herpes naomba kusaidwa dawa nzuri ni ipi ili tatizo liondoke kabsa

Hayo nd'o madhara ya kutumia ndimu
Alivyotamka neno mashavu kamwili kakastimuletika Lol!Kitu pendwa hichojifukizie katika moshi wa bangi hasa kwa kuchuchumaa ili moshi wake uingia katika hayo mashavu ya " vulva " yako mara 3 tu na utapona kabisa.
Hayo nd'o madhara ya kutumia ndimu
Dada humu hakuna ushauri nenda hosp umuone practitioner. Ikishindikana au akaku-consult umuone specialist basi usisite nenda hata Marie Stopes pale wana gyno-daktari wa magonjwa ya wanawake.