Vipele usoni

Vipele usoni

Yusuph Salehe

Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
58
Reaction score
1
Nasumbuliwa na vipele vidogodogo kwenye uso wangu naombeni msaada wenu nitumie nini ili niviondoe kabisa?
 
Bwana Yusuph salehe hujawa moja kwa moja kwamba hivyo vipele ni chunusi au la, sasa ungetupa maelezo kidogo maana vipele vinaweza kutokana na allergy au vi2 vingine unavyopaka usoni, njia nzuri ya kuondoa vipele ni kuviacha vyenyewe vijiondokee kwa sababu ngozi huproduce antibodies ambayo huondoa hivyo vipele, Tumia medicated soap kama vile Dettol, protex sabuni hizi huweza kuuwa bacteria wanaosababisha hivyo vipele, pia waweza ku2mia any facial cleanser ili kuruhusu vitundu vya hewa kuwa wazi
 
Back
Top Bottom