Godbless mtega
Member
- Sep 15, 2018
- 41
- 24
nimepima kila ugonjwa sina
ok ngoja nijalibuNunua sona derm paka baada ya kuoga Mara mbili kwa siku
poa ngoja niweke pichaUnataka tukwambie uweke picha
Hahaa sawaa mkuuVikiisha ninunulie soda baridiii
poa ngoja niweke picha
Asante ngoja nifanye hivyoAu kuna kitu unakula ambacho kinaleta reaction? Jaribu kujifanyia utafiti kama kuna chakula ulikua huli ulipotoka umekua unakila ulivyokuja dar.
hiyo ni skin heat rashes...vipele vya joto.....nenda hospital watakuelekeza jinsi ya kuvitibu naturally#1
Jamani msaada ninavipele mkononi vidogo vidogo vinaniwasha sana usiku. vinataklibani miezi minne hata havitoki vipo kama shigles hivi mikono yote miwili vimenianza mwez was kumi na moja toka nimefika DSM mwenz huo nlikaa mwez mmoja baadae viakanza kunitokea mkono mmoja na baadae mkono mngine vimekaa hapo had Leo msaada jamani..nmetokea iringaView attachment 1049956View attachment 1049957
Asante mkuu ngoja niendehiyo ni skin heat rashes...vipele vya joto.....nenda hospital watakuelekeza jinsi ya kuvitibu naturally
Sent using Jamii Forums mobile app
daaa mwananguu umenichana livemwamba nunua kandambilili zingine mpya,,hizo ata ukikanyaga mwiba unakuchoma,,utaleta matatizo mengine buree,,
kuna kitu umekula hakipatani na mwili wako"alage"kama sijakosea,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea ndio, ni "Allergy"mwamba nunua kandambilili zingine mpya,,hizo ata ukikanyaga mwiba unakuchoma,,utaleta matatizo mengine buree,,
kuna kitu umekula hakipatani na mwili wako"alage"kama sijakosea,,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwamba nunua kandambilili zingine mpya,,hizo ata ukikanyaga mwiba unakuchoma,,utaleta matatizo mengine buree,,
kuna kitu umekula hakipatani na mwili wako"alage"kama sijakosea,,
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu ngoja niondoke dar likizo nioneHivi vipele vinawatesa sana watu Dsm kwa miezi ya karibuni
Nadhani ni madhara ya joto
Sent using Jamii Forums mobile app