#1
Jamani msaada ninavipele mkononi vidogo vidogo vinaniwasha sana usiku. vinataklibani miezi minne hata havitoki vipo kama shigles hivi mikono yote miwili vimenianza mwez was kumi na moja toka nimefika DSM mwenz huo nlikaa mwez mmoja baadae viakanza kunitokea mkono mmoja na baadae mkono mngine vimekaa hapo had Leo msaada jamani