Vipele vidogo vidogo vinanisumbua ushauri tafadhari

Wakuacha

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
2,046
Reaction score
1,337
Habari wakuu

Hivi karbuni takribani wiki mbili zilizopita nimekuwa nikitokwa na vijipele vidogo vidogo, ambavyo vinawasha kweli kweli ukivikuna vinatoa maji halafu vinazaa vingine kama vitano hivi. Hali hii imeendelea nimeenda hospital nikapewa dawa lakn sasa vimekauka sehemu zingne ila kwenye pumbu bado vipo, na panawasha kweli kweli hadi kumekuwa na kama vi uvimbe fulani hivi... Halafu na mkonono kama picha inavyoonesha hapo
 
Pole sana kwa tatizo hilo unaweza niambia ni dawa gani umepewa ?
 
Tuma picha ya kwenye pumbu kwanza niione ili nikupe ushauri wa kitaalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…