kibenten
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 499
- 510
Mi ni mwanaume, sasa nilinyoa nywele za siri,,baada ya siku vhache kukaota vipele vidogo vidogo,,kwa kipind chote icho my wife alikuwa kasafiri, lkn alirudi kipind vile vipere vimeota sehem ya shina ya uume.
Sasa tukafanya nae kama siku mbili ivi ,asa vile vipele vikawa vinauma kwa sabab ya ile friction na vilianza kuchubuka,,,sikukoma tukaendelea kudinyana tu,,sasa saiv vile vipele vimechubuka vimeungana na kimetengenezwa kama kidonda kikubwa kiasi na saiv kinauma sana, wanajukwa wenzangu nifanyaje?
Kama kuna dawa tuambizane, mana likija suala la tendo la ndoa huwa tunafanya lkn maumivu pale kweny kidonda baada ya friction huwa nayasikia na nikishamaliza huonhezeka.
Je, huu ni ugonjwa?
Nawasilisha kwenu.