Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #2,121
Safi sana tumepata wife material aisee,lkn siku nyingne umtoe out asije anza kuzeeka mapema kisa kukupikia
Kiukweli kwa eneo lile nakuaminia sio mm dadaako c unaona shemela wako alivyonichakazaKila weekend.. Kisheria tumejiwekea kila weekend tuna dinner date!!
Si unajua kaka yako nilivyo romantic!? Wifi yako anakuwa katoto kila kukicha, hata la sita B anaweza kuanza..
Ok, wachaga ntulieBe patient! ! Stay calmed..huu uchaguzi ni huru
Ooh come-on dear,u gonna kill me bwanaFall in love with the person who enjoy your madness not an idiot who makes you unhappy...[emoji28][emoji28][emoji28]
Your smile is my survival!
Yy mwenyewe jambazi tosha [emoji23] [emoji23] [emoji23]naona humu jamvini mnamgomba clkey tuu vp mbona sioni nifah akigombewa au mnamwogopa jambazi kuu The bold!! hebu testini zari kwa nifah
Nifah ni dada yangu tayari sasa [emoji23][emoji23][emoji23]naona humu jamvini mnamgomba clkey tuu vp mbona sioni nifah akigombewa au mnamwogopa jambazi kuu The bold!! hebu testini zari kwa nifah
Johnsonmgaya anafuta vumbi sasa hivi..johnsonmgaya kaza buti mkuu la sivyo konzi za clkey hutazigusa ohooo..
Katika ubora wako! [emoji28]Kila weekend.. tumejiwekea kijisheria kila weekend tuna dinner date!!
Si unajua kaka yako nilivyo romantic!? Wifi yako anakuwa katoto kila kukicha, hata la sita B anaweza kuanza..
Kamchombezo si huu uchaguzi wa meya wa jiji la clkey...[emoji23][emoji23]The Bold kakaangu ehee fanya kutuwekea hata kachombezo kafupi kafupi tu, wakati tunasubiri hyo kesho
naona humu jamvini mnamgomba clkey tuu vp mbona sioni nifah akigombewa au mnamwogopa jambazi kuu The bold!! hebu testini zari kwa nifah
Mkuu, binafsi napenda kutaniwa, pia napenda kutania.Unapenda kumtania Fakalava...[emoji41][emoji41]
Thats life brooh! Jokes zinaongeza siku za kuishi..[emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu, binafsi napenda kutaniwa, pia napenda kutania.
Siyo kuweweseka namtahadharisha Lubavu na ile team Makambas hasa Kitengo cha Mlimani City ewasifanye uchakachuzi. Maana itakuwa aibu kutangazwa nimeshindwa wakati nimeshasema nitashinda asubuhi saa 4 na kula haitapotea hata moja.Ss mbona unaanza kuweweseka dalili mbaya
Tena sanaaaaaThats life brooh! Jokes zinaongeza siku za kuishi..[emoji122][emoji122][emoji122]
Ahaaa hapo sawa nmekuelewa kabisaaaSiyo kuweweseka namtahadharisha Lubavu na ile team Makambas hasa Kitengo cha Mlimani City ewasifanye uchakachuzi. Maana itakuwa aibu kutangazwa nimeshindwa wakati nimeshasema nitashinda asubuhi saa 4 na kula haitapotea hata moja.