Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Ina umbali gani?Mbona umeweza kusubiri huu mwaka wa nne hamna kombe la Ligi kuu msimbazi na sijawahi kukuona ukilalamika? [emoji12]
Kwenye Msimbazi wf yangu usiguse basi jaman
 
Tukitangaza mapema uhondo utaisha,kampeni si huwa zinafanyika Kwa miezi 2/3?
Mwisho wa simulizi hii ya vipepeo weusi mshindi atatangazwa [emoji4].
Kabisaa wifi yangu
 
ASANTE Ndugu The Board. Kwa Mara ya kwanza nimesoma simulizi tena kwa hisia.Na nimeferahia sana Ingawa ni kero kwa shemeji yako maana every time nipo bize na siku.LAKINI nilipofika episode ya 7 Nilimpa dawa yake....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Episode 7 itaokoa ndoa & mahusiano mengi sana.
Maana me wengi watapiga show kama ya Ray kwa Cheupe [emoji12]
 
jiandae karibu nakuja.. am almost done!! imebidi nibadili ratiba 😀😉
Baby wangu sijui haoni wivu? mitoto mingine bwana rahisi kweli kutekwa na kusahau fadhili zote ulizomfanyia [emoji34][emoji34][emoji34][emoji30]
Wala sijasahau tatzo naona chama kitanifia mikonon mwangu1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…