Mgaya keshachoka ! Atajitoa kama Dovutwa ! HahaaaaTukitangaza mapema uhondo utaisha,kampeni si huwa zinafanyika Kwa miezi 2/3?
Mwisho wa simulizi hii ya vipepeo weusi mshindi atatangazwa [emoji4].
Anguko kubwa hili..! I said it..[emoji23] [emoji23] [emoji23] u cant be serious hny khaaa chama tawala unaniaibisha
Watoto wa Moro kumbe wengi mpo..Daaah wewe usinikumbushe kilakala flats...tuliinjoy sana Mnet SUA walitufutahisha mnoo
Naona tumejaaa tele....hakuna kama Moro.Watoto wa Moro kumbe wengi mpo..
Post # 1773 au bofya link pale juu post # 1 utaona link ya episodes zote sabaNatafuta latest episode
Wifi yangu nawe bwana ss ushindi wenyewe wa magumashi ahaa tulia hukoUshindi jadi yetu. Tumeshachinjia mbali majimaji [emoji39] [emoji123]
Nionee huruma basi usiendelee kunishawishi bwana pleaseeeee lol niko hoi hapaHuyo hachana naye njoo huku!
All of me.
Ahsante mkuu, nilidhani kuna nyingine maana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Post # 1773 au bofya link pale juu post # 1 utaona link ya episodes zote saba
Episode 8 kesho jumatano
I love you shemela!!!!!!Consider it's done shemela, ondoa shaka.
Labeka ma dearClkey !
Lv u moreee aiseeCome on baby.... I love you, Siwezi kunyamaza kuhusu hili.
Nyie watu mnanichekesha sana hapo kwa Dovutwa hahahahaMgaya keshachoka ! Atajitoa kama Dovutwa ! Hahaaaa
Kumbe nawe mnyama bora tutembee pamojaWifi yangu nawe bwana ss ushindi wenyewe wa magumashi ahaa tulia huko
Eeehj ndio umefika mwisho au tusubirie episode 2Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akajumuika na familia kula Chakula cha usiku
Asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini kwa ujumla Yuko vizuri kiafya
Upo shemela ! Nataka nimchukue mdogo wako..clkeyNyie watu mnanichekesha sana hapo kwa Dovutwa hahahaha