Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

nilikuwa faragha na shemeji yako Clkey, tunahitaji utulivu.
Huyo umemtoa Zhongh Yutong eeh?

Ama kweli china ni manufacturer wa kila kitu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Clkey niko nae tunakunywa wine toka saa 1610hrs tunasubiri episode mkuu...

Mtoto jicho limemtoka hata simu hawezi kushika tena...! Can't you see her silence...
 
Mai darling waambie hao nipo nmetulia tuli mapajani kwako
 
Habari za hivi punde!

Ndugu wana Jf, ule mtanange wa wagombea wanne unaendelea huku ndugu fakalava akiongoza kwa mbali sana akifuatiwa na Transcend.

Mkoroshokigoli Kajitoa, wafuasi wa Johnson wamekimbia na masanduku ya kura kusikojulikana.
Nyie hangaikeni mm na deal na lubuva + jecha ndo wana final says
 
Kakaang The Bold hii mambo vp jaman nshatoa macho hapa ka mjusi alobanwa na mlango lkn ktu hakiji tu
 
Hiki kizungu cha leo humu kina matege!
Hello Capt Tamar... Ndo Maana hua napakubali saaana JF hapa ni kuliko darasani.. Haya kwa faida yangu Mwenyewe na kwa ya watu wengine... correct me nlipo kosea bro.. kwa moyo safi kabisa.. thanks bro..
 
Kakaang The Bold hii mambo vp jaman nshatoa macho hapa ka mjusi alobanwa na mlango lkn ktu hakiji tu
Take more wine!! The bold yuko anaiweka vizuri...

Ikija tuu nakuadithia manake hapa ulipo huwezi kusoma tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…