Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Naunga mkono hoja
 
Ndo maana nimekupigia imeita mara moja tu ikakatwa, enewei kama anakataa kukurudishia achana nae nitakuletea nyingne, jiandae kutumia Vertu smartphone the most expensive alive
Lkn babe cm umenunua ina mwezi tu khaa tutakuwa tunafanya kazi ya kanisa ss
 
Imenikumbusha zamani nilikuwa napenda sana kusoma hadithi kuna gazeti la Heko lilikuwa linaandika hadithi za Ben Mtobwa. Tutarudi na roho zetu nilinunua sehemu ya kwanza hadi ya mwisho na hayo magazeti ninayo hadi leo ni zaidi ya miaka 15 au 20. Nimesema hivyo ili kuweza kumwezesha mwenzetu
 
Ni wazo zuri sana maana Kwa maana ya pande zote kunufaika na hii story na zingine ambazo zitakuwepo nadhani wengi tuliomo humu hiyo gharama inawezakuwa sio issue .
Tatizo linakuwa ni wengi hawapendi kufahamika hapo ndio shida
 
Kuhusu usalama wa mawasikiano ya watu..

Kwa ninavyo fahamu, ubaya unakuwepo pale mtu anajua namba yako ya simu na ID unayotumia humu jf.. Ila akijua kimoja pasipo kujua kingine (kwa mfano ajue namba pasipo kujua ID yako ya JF) kunakuwa hakuna hatari wala ubaya wowote..

Kwa mfano mpaka sasa nimeshapokea meseji za members kadhaa whatsapp lakini wengi wao sifahamu ID zao wanazotumia humu na hakuna ulazima wa mimi kufahamu..

Alafu hakuna hacker hapa Tanzania mwenye uwezo wa kuhack whtasapp.. Ni kama ilivyongumu kuhack Google au Facebook..

Ukiona mtu "amekuingilia" anajua settings zako za siri but sio "hacking"

Kwahiyo naomba tuaminiane tu kwenye hili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…