Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #2,801
Mkuu The bold naungana nawe kabisa upo sahihi ili pande zote wawezi kufurahia mabandiko yako. Napendekeza wale wanaoungana na wazo lako wawe wanatuma mwanzoni mwa mwezi na tunaanza kujisajili kabla ya kuanza kurusha ili uweze kupata mwitikio wa watu
Mie sijajua kama umekamatia majina yote mawili ama laaa[emoji15]Shukrani sana Mkuu..
Niwashukuru wewe pamoja na lee empire na johnsonmgaya kwa kuhakikisha napooza koo kwa juice na kuweka bando kabla hata sijaleta hili ombi la leo..
Mbarikiwe sana..
Shem ni sisi kuamua hata tukisema tunaanza tarehe 20 kesho ifikapo 20 fed ndio tunahesabu mwezi.The bold nina swali
Leo ni tarehe 19 je hyo system inaanza lini? donation inaanza lini,
Unaonaje kama hyo donation ingeanza 1st feb,? lengo ni kuweka balance sawa ,
Sorry in advance
Pamoja sana mkuu ....Shukrani sana Mkuu..
Niwashukuru wewe pamoja na lee empire na johnsonmgaya kwa kuhakikisha napooza koo kwa juice na kuweka bando kabla hata sijaleta hili ombi la leo..
Mbarikiwe sana..
Ahsante wifi yanguHaaaaaaa jamani pole sana mpendwa.
Kuwa makini wakati mwingine.
Why Transcend only...?The bold kuhusu hilo natamani kulipitisha lakini karoho kanauma sana
Shida si financial shida inakuja mawasiliano ya wife Clkey yatakuwa wazi sana nitaibiwa kirahisi
Hapa tu anatumia anonyms lakini napata presha je huko,,
Damn me! story nataka sana tu ukizingatia Nifah kanambia ep zipo 50 we have to do that.
Hey boy @Trancend stay away from her sasa kama hutaki kuendelea kusoma story mfatilie,,,,,
Mume wangu jiamini bwana mm mtu mzima ww c wangu tatizo nn ss unanitia mashaka ss itakuwa ww ndo mchepukaji mkuuThe bold kuhusu hilo natamani kulipitisha lakini karoho kanauma sana
Shida si financial shida inakuja mawasiliano ya wife Clkey yatakuwa wazi sana nitaibiwa kirahisi
Hapa tu anatumia anonyms lakini napata presha je huko,,
Damn me! story nataka sana tu ukizingatia Nifah kanambia ep zipo 50 we have to do that.
Hey boy @Trancend stay away from her sasa kama hutaki kuendelea kusoma story mfatilie,,,,,
Tanx dPole sana sweetheart.
Losers mnapeana moyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulifia wapi man?
Mai kaka sioni namba tena aha wamenivuruga leo wajinga fulaniKuhusu usalama wa mawasikiano ya watu..
Kwa ninavyo fahamu, ubaya unakuwepo pale mtu anajua namba yako ya simu na ID unayotumia humu jf.. Ila akijua kimoja pasipo kujua kingine (kwa mfano ajue namba pasipo kujua ID yako ya JF) kunakuwa hakuna hatari wala ubaya wowote..
Kwa mfano mpaka sasa nimeshapokea meseji za members kadhaa whatsapp lakini wengi wao sifahamu ID zao wanazotumia humu na hakuna ulazima wa mimi kufahamu..
Alafu hakuna hacker hapa Tanzania mwenye uwezo wa kuhack whtasapp.. Ni kama ilivyongumu kuhack Google au Facebook..
Ukiona mtu "amekuingilia" anajua settings zako za siri but sio "hacking"
Kwahiyo naomba tuaminiane tu kwenye hili..
Baby njoo whatsapp hebu kwanza..! [emoji28][emoji28]Mume wangu jiamini bwana mm mtu mzima ww c wangu tatizo nn ss unanitia mashaka ss itakuwa ww ndo mchepukaji mkuu
MtajijuuuTuwe mguu ndani mguu nje [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushalipa hela kwa shem yako au unaniita tu siji ng'oooo hadi ulipe pesaBaby njoo whatsapp hebu kwanza..! [emoji28][emoji28]
Kwahlo jina uliloniita naomba niweke simu chini, imepitishwa tayari na ianze kesho,Shem ni sisi kuamua hata tukisema tunaanza tarehe 20 kesho ifikapo 20 fed ndio tunahesabu mwezi.
Nishalipa mie...episode ya 8 inaingia muda si mrefu...Ushalipa hela kwa shem yako au unaniita tu siji ng'oooo hadi ulipe pesa
Chama cha kaskazini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Why Transcend only...?
Wasi wasi mama alafu kwanini hujafanya nilivokuambia pm?Mume wangu jiamini bwana mm mtu mzima ww c wangu tatizo nn ss unanitia mashaka ss itakuwa ww ndo mchepukaji mkuu
Punguza wenge nshakufanyia bwanaWasi wasi mama alafu kwanini hujafanya nilivokuambia pm?