Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #2,861
Dah sijataka ku comment chochote tangu Nimeanza kufuatilia hii simulizi lakini sasa nasema, kitu kimetulia Sana ila kuna angalizo story hadithi na simulizi humu zinakuwaga na mwishio wa kimyakimya bila kuaga cha msingi naomba kujua kama haitaenda mpaka mwisho naomba kujuzwa ili niache kufuatilia kuanzia sasa maana sioni faida ya kula chakula utamu lakini nisishibe hii sio Sawa
Group linaanza lini
Sijaona ona group jipya kwenye simu yangu,WAKUU GROUP LIMESHAANZA..
SASA TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUADD MEMBERS..
WHATSAPP YOUR NUMBER TO 0718 096 811
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama bado utakuwa ulichelewa kutuma maombi.Sijaona ona group jipya kwenye simu yangu,
Nilitegemea baba bite niwe wa pili after shemeji,,
Mkuu ungejua Ratiba ya Transcend wala usingeongea!Ila leo umejitahd saa 3 upo macho, jitahidi tena uamke saa 11 uwe gentleman kamili,
mkuu nimekupm number umeiona@The boldWAKUU GROUP LIMESHAANZA..
SASA TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUADD MEMBERS..
WHATSAPP YOUR NUMBER TO 0718 096 811
Hhahhaha ananijua huyo mm sinaga blah blah labda kama mnajingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama bado utakuwa ulichelewa kutuma maombi.
[emoji122][emoji122][emoji122] congrats now umekuaMkuu ungejua Ratiba ya Transcend wala usingeongea!
Its too tough! Saa 11 aflajiri to saa 6 usiku..
Mkuu ww mbona ulishatolea tangu round ya 1? tena kwa knockoutMcheck super star fakalava anakula unyunyu na mrembo Clkey.
Hizi mbio zimewatoa watu ndimi nje.
Check hapa.
Transcend
Johnson
Siamini kama ni wewe au ni mzuka wako.Mkuu ww mbona ulishatolea tangu round ya 1? tena kwa knockout
Wewe dovutwa naona unafufuka?Mcheck super star fakalava anakula unyunyu na mrembo Clkey.
   Nimeumbuka kudadeki,!!! ila nilimuomba dada ruhusa akanipa na pia nmeimodify kidogoKwahiyo unataka kusema ile namba ambayo umeweka status umeiga signature ya mkewangu Nifah, ile sio namba yako.. Eti
Dada si nilikuomba ruhusa!! jamaa ananiumbua hadharani[emoji87] [emoji87] [emoji87] kumbe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Johnson bwana?
Hahahahaha.!! Hapana Mkuu just wanted to be sure, nilikuwa nahisi labda nimekosea..   Nimeumbuka kudadeki,!!! ila nilimuomba dada ruhusa akanipa na pia nmeimodify kidogo
Ila next time acha umbea man! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha.!! Hapana Mkuu just wanted to be sure, nilikuwa nahisi labda nimekosea..
Hahahahahaha!! Ntajitahidi..Ila next time acha umbea man! [emoji23] [emoji23] [emoji23]