Baby ake? You are missed...!Punguza wenge nshakufanyia bwana
Naheshimu mawazo yako Mkuu..Mkuu the bold naomba hilo group whatsapp lisiathiri chochote ratiba ya hapa, yani tuendelee kama kawaida... Ukiwa unaendelea kutafakari tuwekee kimoja cha j'mosi kama ulivyoahidi tafadhali maana wengi tumesubiri mpaka leo alafu hakuna kitu, HILI NI OMBI TU MKUU
Huku tunamkosoa mtukufu kwa Uhuru ingawa yeye hapendi!kama hufanyi chochote kibaya unaficha nini mkuu? hofu ya nini if ur not doing anything wrong?
mh rais hajakataa kukosolewa but kuna jinsi ya kumkosoa mzazi wako. sasa sisi hatukosoi bali tunadhalilisha kabisaa.Huku tunamkosoa mtukufu kwa Uhuru ingawa yeye hapendi!
Mkuu na wewe unaomba episode, na Sie wenyewe tupo tunasubir HOFu kule tuendeleee, uctuambie na yenyewe unaktisha Mkuu! Ntazimia kwa uchungu[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Mkuu the bold naomba hilo group whatsapp lisiathiri chochote ratiba ya hapa, yani tuendelee kama kawaida... Ukiwa unaendelea kutafakari tuwekee kimoja cha j'mosi kama ulivyoahidi tafadhali maana wengi tumesubiri mpaka leo alafu hakuna kitu, HILI NI OMBI TU MKUU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu huku story haijakatishwa ila mtakuwa mnawekewa episode 1 kila wiki.Mkuu na wewe unaomba episode, na Sie wenyewe tupo tunasubir HOFu kule tuendeleee, uctuambie na yenyewe unaktisha Mkuu! Ntazimia kwa uchungu[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Pole sana mkuu,bandiko lako hili limeniumiza moyo wangu sana.Kwa The bold!
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa story zako karibu zote.Wazo ulilotoa ni zuri lakini ni baya pia.
Nikweli unatumia muda wako kutuandalia vitu vizuri km hivi na nimuhimu upate juice/maji pamoja na bibie chaurembo wetu Nifah.
Mkuu The bold,ombi langu kwako punguza kiwango cha kuchangia kiwe japo elfu 3000 tsh ili hata tusio na ajira rasmi tuweze kuendelea kuburudika.
Nikiri wazi kuwa bandiko lako limeniumiza sana ndani ya nafsi maana tayari nilikuwa nimejiandaa kusoma VIPEPEO WEUSI...ghafla nakutana na bandiko ambalo kiukweli si zuri hata kidogo!..limeniumiza akili yangu.
The bold ulihaidi jmosi!..siku 2/3 kabla ya siku ya ahadi unakuja na bandiko hilo,jaman huoni km umenionea/kutuonea wapenzi wa story zako?...mimi siyo mtu wa kukomenti komenti sana japo ktk hili...aaah umenikwaza!
Itabidi niwe mpole nisubirie vitabu vikitoka ninunue hasa hichi ulichoniahidi na kunikata stim hapa jukwaani!
Asante!
wiser1
The bold hebu tafuta gazeti la The guardian la Leo nimepita sehemu na haraka nikakuta hii front pageNaheshimu mawazo yako Mkuu..
Ila group limeshaanza na kuna utaratibu unaendelea kule.. Kama nilivyosema hapa stori itasimama kwa wiki moja kisha baada ya hapo nitakuwa naweka episode moja per week
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna jilani yangu hapa katoka kazini kafika sinza mori akakuta pweza basi akala pweza wa buku na kachori za mia tano! Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia!
Baadae kaelelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe akamuomba maji ya kunywa alipopewa akayanywa kisha akavua viatu mkewe akamtengea maji ya kuoga baada ya kuoga akajumuika na familia kula Chakula cha usiku
Asubuhi kaamka kaoga kavaa vizuri kaenda kazini kwa ujumla Yuko vizuri kiafya
Ngoja nilifuate na mimiThe bold hebu tafuta gazeti la The guardian la Leo nimepita sehemu na haraka nikakuta hii front page
Mkuu leo huyu mtu yupo busy kinoma,ngoja nimfikishie ila usitegemee majibu leo.Nifah mfikishie ujumbe pls maana nimeona ni swala ziti kidogo. Sikufanikiwa kulinunua ila naamini akilichukua kuna kitu atatuosha nacho ufahamu juu ya tulifanyiwa.
poa poa mkuu hebu Fanya hivyo naona huyu ndugu yetu malkia wake amenitaarifu yupo busy sana.Ngoja nilifuate na mimi
Sawa sawa mkuu yote yatakuwa sawa tuu mpe salam.Mkuu leo huyu mtu yupo busy kinoma,ngoja nimfikishie ila usitegemee majibu leo.
Vuta subira,ataliletea ufafanuzi.
Ninalo tayari mkuu!poa poa mkuu hebu Fanya hivyo naona huyu ndugu yetu malkia wake amenitaarifu yupo busy sana.