Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #3,141
Mbona nilishaweka episode 9 wiki iliyopita..Mkuu wk ya moja ya kutupumzisha huku haijaisha tuu??
Hahahaha! Jitutumue mkuu..Cjui nikope wap buku 5 nijiunge na hilo group la whatsap maana moyo unataka ila hali hairuhusu
OkayMbona nilishaweka episode 9 wiki iliyopita..
Kesho kutwa jumanne naweka episode 10..
Kule kwenye group kesho kutwa hiyo tunaingia episode 17 [emoji6]
Hahah Mkuu... sisi wa bishi tutasubiri huku huku... [emoji12] [emoji13] [emoji23] Waswahili wanasema kawia ufike...Mbona nilishaweka episode 9 wiki iliyopita..
Kesho kutwa jumanne naweka episode 10..
Kule kwenye group kesho kutwa hiyo tunaingia episode 17 [emoji6]
Hahahaha!! Inabidi whatsapp nayo waangalie namna ya watu kujiunga na ID za a.k.a kama JF [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah Mkuu... sisi wa bishi tutasubiri huku huku... [emoji12] [emoji13] [emoji23] Waswahili wanasema kawia ufike...
hii ya kuleta one episode per week inanikumbusha zamani wakati tunasubiri Kaole na kidedea... haha so kwa sisi vijana wa zamani kiukweli unatukumbusha Enzi...[emoji23]Hahahaha!! Inabidi whatsapp nayo waangalie namna ya watu kujiunga na ID za a.k.a kama JF [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahah! Nakumbuka namna ambavyo roho inalipuka kwa furaha neno "IGIZO" likitokea kwenye Runinga [emoji23]hii ya kuleta one episode per week inanikumbusha zamani wakati tunasubiri Kaole na kidedea... haha so kwa sisi vijana wa zamani kiukweli unatukumbusha Enzi...[emoji23]
Makala ya uchambuzi vp wkend hiiHahahahah! Nakumbuka namna ambavyo roho inalipuka kwa furaha neno "IGIZO" likitokea kwenye Runinga [emoji23]
Humu JF nitaweka katikati ya wikiMakala ya uchambuzi vp wkend hii
Siwez nikapata full story kwa wakati mmoja,Humu JF nitaweka katikati ya wiki
Unaweza kupata episode moja kila sikuSiwez nikapata full story kwa wakati mmoja,
Malipo yanakuwaje?Unaweza kupata episode moja kila siku
Ni shilingi elfu tano kwa mwezi..Malipo yanakuwaje?
Hahahah!! Kesho sio mbali mkuu..Napita tuu..siku zupo slow kinyama
Ah ah ah hakika.mkuu.ngoja tusubilie tuuHahahah!! Kesho sio mbali mkuu..
Shukrani..Story nzuri!