Evarist Massawe
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 857
The bold leo valentine day zawadi kampa nifah tu, sie zawadi yetu ingekuwa episode ya 12 daah katuchuniaMkuu naona Kaka masawe hapo hujamuelewa vizuri.. na mm pia na jumuisha ombi.. hebu tupe zawadi ya Valentine leo kaka.. tupe episode back to back.. tuengeze tu hio ya 12 kaka...tuonee huruma tu mkuu
Jamaaa yupo kinoma,ngoja tuvumilie mpk nextwkUpo viziri the Bold
Ah ah ah ahMkuu naona Kaka masawe hapo hujamuelewa vizuri.. na mm pia na jumuisha ombi.. hebu tupe zawadi ya Valentine leo kaka.. tupe episode back to back.. tuengeze tu hio ya 12 kaka...tuonee huruma tu mkuu
Nimeamua kumuappreciate kwa njia hyo mkuuHahahahah! Huyo ni mtunzi sio lazima kumtag..
Najua mamangu,I just appreciateHahahaaaaaaa sasa yeye si ndo mtunzi mkuu?
karibu ulevini mkuu, maana ukisoma hii ni sawa na kilevi hutabandukaJamani mm ndiyo kwanza naiaza Leo ....mnikaribishe jamani @bold
Ijumaa nitaweka episode mkuu.. (Kesho kutwa)Mkuu naona Kaka masawe hapo hujamuelewa vizuri.. na mm pia na jumuisha ombi.. hebu tupe zawadi ya Valentine leo kaka.. tupe episode back to back.. tuengeze tu hio ya 12 kaka...tuonee huruma tu mkuu
IjumaaIjumaa mkuu naweka episode.. (Kesho kutwa)The bold leo valentine day zawadi kampa nifah tu, sie zawadi yetu ingekuwa episode ya 12 daah katuchunia
Karibu sana mkuu..Jamani mm ndiyo kwanza naiaza Leo ....mnikaribishe jamani @bold
Shukrani..Upo viziri the Bold
Natanguliza shukrani za dhati kabisaIjumaa nitaweka episode mkuu.. (Kesho kutwa)
Pamoja sana mkuu..Natanguliza shukrani za dhati kabisa
Mkuu hujanipa mrejesho mkuu...Pamoja sana mkuu..
Soory mkuu, nikumbushe kidogo tafadhali.. maana hii ishu ya list ya awamu ya tatu ilinipa presha nimesahau kila kitu hahahahahaMkuu hujanipa mrejesho mkuu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Soory mkuu, nikumbushe kidogo tafadhali.. maana hii ishu ya list ya awamu ya tatu ilinipa presha nimesahau kila kitu hahahahaha
nikumbushe mkuu
Nimekwisha rekebisha mkuu..
Pole sana kwa kukosea jina lako!