Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mkuu nimekupata maana toka mchana nilikuwa sichezi mbali na windo la Simba mimi kama fisi najua muda wowote nitamalizia baada ya simba kufanya yake tuko pamoja kama samaki na maji.
 
..Hizi story za the Bold huwa ni tamu ILA kuisoma Yote kunahitaji ujasiri wa John Faru
 
Jamani namuwazia tu hapa baba bite
Mimi natamani ile game ya ray na cheupe ingeendelea maana si kwa mkamiano ule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa kanywa vi Windhoek viwili tu kashajitangaza mshindi tayri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sikuachi pombe maana unanifanya namuona mama chanja mupya kila siku,
 
thanks chief. ubarikiwe sana
 
Ilikuwa hatari sana wangekomanaa
 
hahahaha unatumia fursa.....Ray kichwa ngoja na mie niendelee kuunganisha dots
Hahahha kichwa chake hakifui dafu mbele ya the board ww? nahisi atajitenga nao baada ya kuguswa familia ya cheupe so kwakuwa ameshakuwa partner lazima afanyiziwe asitoe siri za kambi? hyo nafasi ndo mm "baba bite" nitaitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…