Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #3,521
Hili swali nahisi kama umewahi kuniuliza.. Au si wewe??Samahani The bold, "je wewe ni mtanzania halisi ?" ...yani baba mtz na mama mtz?...samahani lkn The bold nijibu tu!
sikumbuki jibu mkuu!.....i wish to see you aseeee![emoji85] Kwaruhusa ya NifahHili swali nahisi kama umewahi kuniuliza.. Au si wewe??
si mimi nilie kuuliza The boldHili swali nahisi kama umewahi kuniuliza.. Au si wewe??
OK.. Yeah mimi ni Mtanzania halisi Kabisa! Baba na Mama wote Watanzania.. Mpaka Babu na Bibi wote ni Watanzania Halisi Kabisa..sikumbuki jibu mkuu!.....i wish to see you aseeee![emoji85] Kwaruhusa ya Nifah
Wewe ni kichwa!...na hii hadithi 'nahisi' inakuhusu 70%OK.. Yeah mimi ni Mtanzania halisi Kabisa! Baba na Mama wote Watanzania.. Mpaka Babu na Bibi wote ni Watanzania Halisi Kabisa..
Salute!
Muda si mrefu itakuwa hewani..thanks God its friday.(TGIF). hizi siku za mwendelezo wa vipepeo ni kama sikukuu vile[emoji12] [emoji12] [emoji1]
Hold on,wewe ni ke au me?sikumbuki jibu mkuu!.....i wish to see you aseeee![emoji85] Kwaruhusa ya Nifah
angekuwa me hasingeomba ruhusa kwako nifahHold on,wewe ni ke au me?
The Bold, Nimejaribu kufungua Episode 9-14 zimegoma kufunguka. Nafanyaje Kuzipata Mkuu?[emoji1] [emoji1] [emoji23]
Una hatari sana mkuu..
Shukrani sana mkuu! SaluteHii story ungeiweka katika movie ungetisha mkuu dunia nzima wangetujua watz kua na sisi tunaweza.Hadith Hii IPO level za prison break,24hours.Hongera mkuu keep it up
Ndani ya lisaa inakuwa hewani..ijumaa ijumaa
Fanya haraka kichwa....Ndani ya lisaa inakuwa hewani..