Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #3,701
jamani The bold ananipenda hadi nanenepa kwa raha.
The bold ni mwanaume wa kipekee sana
You are welcome twin darling [emoji8]Jamani, you seem to think very highly of your twin and you always honor her ; this means a lot to me. I truly appreciate swts. Super thanks [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mweeee ngoja tu nikalale aiseeee.And nitakupenda hivi mpaka siku tunaanza kutembea kwa mkongoja.. The only thing ambacho labda kitabadilika ni kukupenda.. Coz nitakupenda zaidi kila kukicha..
Because you are a unique type of a woman that's why you deserve to be given a unique love..
You have made me a better man than I could have never been on my own..
Kalale tu Heaven Sent, mi ndo kunakucha!Mweeee ngoja tu nikalale aiseeee.
OMG! Namna hii jamani utaniua mwanaume punguza basiiiiii!And nitakupenda hivi mpaka siku tunaanza kutembea kwa mkongoja.. The only thing ambacho labda kitabadilika ni kukupenda.. Coz nitakupenda zaidi kila kukicha..
Because you are a unique type of a woman that's why you deserve to be given a unique love..
You have made me a better man than I could have never been on my own..
Nifah asante kwa kunielewa! kweli ww niwakipekee sana!My dear...jokes aside,nakuelewa sana.
The bold ni mwanaume wa kipekee sana,kama nilivyompenda mimi sishangai wewe kumpenda.
Hivyo usidhani namind wala nini,na wala siwezi kugombana na wewe au wenzio (maana ni wengiiiiiii uwiiiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] ) mimi nitadeal na my man,period.
Wewe endelea na harakati zako,nipo relaxed kabisa [emoji4].
na limevimba haswaaa maana si kwautamu huu wa maneno yakutoka mtimani.Kama naliona likichwa la The bold lilivyovimba hahaha
Nakupenda sana Cheupe wangu.!OMG! Namna hii jamani utaniua mwanaume punguza basiiiiii!
Sijawahi kuwa na furaha kama niliyo nayo hivi sasa.
Nimepatikana Nifah,kwako sipindui baba.
Nakupenda sana,daima.
I love being your woman honey [emoji8],thank you.
ndiyo kwa nia njema lknHahahaha unampenda mume wa mtu
Haha twisheni gani hiyo?Kalale tu Heaven Sent, mi ndo kunakucha!
Hawa watu itabidi niwaendee twisheni tu hakuna namna
Twins kitu gani! hivi unaelewa maana ya nguvu ya penzi?Twins hao, ngoja wakuweke mtu kati
Asante kwa kuelewa twin ake bibie Nifah! shem wake The bold, the man i love most!Nope ni kawaida tu kwetu, especially when you have an ideal man like him. So far inakufanya uwe na uhakika na uwe proud zaidi kwamba you made a perfect choice. Afu uzuri ni kwamba we know our worth and we know our places, so huwa tunarelax tu koh koh[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Haha you nuts. usiku mwemaAsante kwa kuelewa twin ake bibie Nifah! shem wake The bold, the man i love most!
Haya maneno yamenifanya nikumbuke msg yangu niliyotumiwa leo PM![emoji4] [emoji4]Nakupenda sana Cheupe wangu.!
I feel lucky and very proud to be your man [emoji4]
Moyo unatabia flani hv, ngoja ipo siku ntakuambia.Haha kumpenda mtu wala sio kosa hata, Ila si unajua moyo wa shem ulipo.
Usijali twin ake Nifah, twisheni iko hapa hapa kwenye "Vipepeo Weusi"Haha twisheni gani hiyo?
sweet dreams dear!..but am not "nuts"Haha you nuts. usiku mwema
oops sorry dear. sweet dreams toosweet dreams dear!..but am not "nuts"
Aiseeee siku nyingine usitushoshe pleaseeeeNtawezaje kusoma episode ya 9 na kuendelea[emoji25]