Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

TAHADHARI



Morning wakuu,


Leo jioni nitaweka hapa Episode 20 ya Simulizi yetu ya Vipepeo Weusi.. Ningependa nitoe angalizo kuhusu Episode hii..

Huko katika familia yetu ya WhatsApp Episode hii niliiweka maalumu kwa ajili ya Valentine (Valentine day special) hivyo basi Episode hii ina vipande vingi vya mambo ya "Kikubwa".!!


Kama hupendi kusoma vitu vya dizaini hiyo, nakushauri usisome Episode hii.. Subiri Episode 21.



Kutokana na content ya hii Episode itanipasa niiweke jioni..



Shukrani.!
 
 
 
Ahsante Kaka.
Ss wengne walokole ungetuharibia udhu..
Ahsante kwa kujali mkuu
 

Itakua na video+picha? Kama ni maandishi hayana shida.
 
kwani mkuu the bold dini yako si inaruhusu kuoa wanne, hebu chukua wote hao yaani nifah, wiser1 na heaven sent ili kuondoa migogoro hii jamani. halafu kufanya hivyo ni sunna.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Ujumbe huu uwafikie;

Cheupe wangu Nifah
Heaven Sent
wiser1


Problem solved [emoji4]
 
Sijui ni vigezo gani vinamfanya mtu awe tagged maana list ni ileile daima haipungui haiongezeki
Wewe mpaka leo hujawa tagged?

Wakati mwingine huwa notification hazifiki kabisa..! Kama vipi kaverify jina lako kwenye list pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…