Stay Tuned ! Jumatano utajua hali ya Isaac tuu...Thanks mkuu..nimeisoma chap chap kwa kulukaluka maana nacho kihitaji sijakiona leo the bold kaamua kuamsha walio lala
Sijui isack aliko kwenda huko na kama alifwata na the board na kukuta sio ray nahisi nakofi ya uso aliyapa haswaa
Jamaa kaenjoya kabisaa
Huwa kupapasa matiti ya mwanamka mjamzito ni rahaaa kabisaa
Enjoy wakuu
Yes nasubili sanaStay Tuned ! Jumatano utajua hali ya Isaac tuu...
Nan kakuambia siwez mpata?..wewe kama una gubu hivi duuuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]As usual nakukubali kwenye hzi sector, wiser1 si bora uje tofanye combination sound manwater maana the bold huwez kumpata tena
Simuwez Nifah? nani kakudanganya?...tena kwa hili la leo ndo ntamlilia The bold hadi anikubali oooooooohooooooooo[emoji85] [emoji85] [emoji85]Wiser1 hamuwezi Nifah! Tushakula hadi mahari ya The bold...!
Inabidi wiser1 awe wise kama jina lake...
Asikuachie..
Uko kwenye kundi la kukosa mwenyewe akuuu mie simo humoooo!Aje tu kwangu maana wote tupo fungu la kukosa
jaman The bold hayuko occupied bhnaaa nafasi yangu ni VIP ipo tuSasa mkuu the Bold si yuko occupied na Nifah...?
Mimi nikafikiri utaganda kwa mondray...kijana machachari!
we pita tu mkuu!...penzi changa kwa Wengi HUNOGA haswaaa...ila kwa mie litanoga nikikaribia age ya Nifah
Ungekuwa unaujua ukweli usingeishia kunionea huruma pekee,ungemwaga mchozi kama wa Bashite.Nimesoma hii post alafu nimekuonea huruma ghafla[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unavyopenda ubuyu sasa,kunizidi dada yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah! Nipe stori mkuu wacha hizo..[emoji41]
Penda usipopendwa utajijua, mm mwenyewe nilipenda nisipopendwa basi tu so sio mbaya tuka make loveHapana aseee jombaa!...nampenda The bold,najua ipo siku ntakuwa wake!
The bold..........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka mnoooo.ninachoshukuru hii episode nimeisoma usiku maana daah, hizo taulo za guest zinanikumbusha mbali yaani hata kama demu mbaya akivaa tu ataonekana ana mvuto wa ajabu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uwiiiiiiithe bold natamani hiki kipande cha stori ya leo ndo kigengekua jana maana nilipata cheupe wangu hiyo jana kutoka koromijeππππππππππ
Huu sio ubuyu bhana ..! Stori za kiume hizi..[emoji41][emoji41]!Unavyopenda ubuyu sasa,kunizidi dada yako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ishia hapo hapo basi....! Hujui huku kuna kaka zako...Ungekuwa unaujua ukweli usingeishia kunionea huruma pekee,ungemwaga mchozi kama wa Bashite.
Kichwa sio wa mchezomchezo aiseeee [emoji39] [emoji85]
Wee unamtaka the bold ambaye keshanyeshwa maziwa mabichi na Nifah...?jaman The bold hayuko occupied bhnaaa nafasi yangu ni VIP ipo tu
Wahenga tunasema "Unapiga teke vibuyu vya asali . Nisije nikakukuta kule love connect tuu [emoji23][emoji23][emoji23]Uko kwenye kundi la kukosa mwenyewe akuuu mie simo humoooo!
Mimi nakuwa mtazamaji ! Japo nimetokea kuwa mshauri wako mapema....!Simuwez Nifah? nani kakudanganya?...tena kwa hili la leo ndo ntamlilia The bold hadi anikubali oooooooohooooooooo[emoji85] [emoji85] [emoji85]