teheteheee,the bold itabidi airudie hii kipande jumapili ijayoooo maana zao la koromije litakua hapa home[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Uwiiiiiii
Umetisha sana mkuu.
Sasa utapendaje mme wa mtu wakat dummez tupo wengi humu mbaya zaid the bold hata hakupend. Usiforce kupendwa penda unapo pendwa kama kwanguUko kwenye kundi la kukosa mwenyewe akuuu mie simo humoooo!
Sawa sawa kaka.TAHADHARI
Morning wakuu,
Leo jioni nitaweka hapa Episode 20 ya Simulizi yetu ya Vipepeo Weusi.. Ningependa nitoe angalizo kuhusu Episode hii..
Huko katika familia yetu ya WhatsApp Episode hii niliiweka maalumu kwa ajili ya Valentine (Valentine day special) hivyo basi Episode hii ina vipande vingi vya mambo ya "Kikubwa".!!
Kama hupendi kusoma vitu vya dizaini hiyo, nakushauri usisome Episode hii.. Subiri Episode 21.
Kutokana na content ya hii Episode itanipasa niiweke jioni..
Shukrani.!
Nisamehe broh,yote kayasababisha kichwa [emoji24]Ishia hapo hapo basi....! Hujui huku kuna kaka zako...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe jamaa umejua kunifurahisha.teheteheee,the bold itabidi airudie hii kipande jumapili ijayoooo maana zao la koromije litakua hapa home
wewe ni jf new member karibu ukubwani mkuu, ujifunze, uelimike, uburudike, utukanwe ila wew usitukane sawa? kuwa great thinker wa ukweli ndio maana ya kuwa mkubwa mtu akikutusi mkaushie usijibu kwa tusi..kriiiibu.Good
mkuu chukua hii episode uicopy halafu ipestie sehemu, demu wako akija hiyo jpili wew unasoma halafu unapractice kwa gal wako. ila sasa bafuni kwako kuna bomba la mvua? isijekuwa choo ndio pia hutumika kama bafu!!teheteheee,the bold itabidi airudie hii kipande jumapili ijayoooo maana zao la koromije litakua hapa home
Hili swali huwa namuuliza sana,ukisikia wajuzi wa mambo ndio The bold sasa.You are gifted The bold.....i wonder how comes unakua unajua kila kitu kias hicho???
Kuna kitu hujui???
Dah BIG UP SANA.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hili swali huwa namuuliza sana,ukisikia wajuzi wa mambo ndio The bold sasa.
Halafu ukimuona huwezi kudhania kabisa,dah kuna watu wamebarikiwa akili bwana [emoji119]
Mhhhhhhh [emoji87] [emoji15][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Basi ngoja nisiseme.. Nilitaka kusema swali fulani ulikuwa unaniuliza juzi [emoji23] [emoji23] remember??
Asante kwa kuniruhusu!..Naiman hutokuja na kilio hapa![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mhhhhhhh [emoji87] [emoji15]
Hold on babe,juzi asubuhi?
Uwiiiiiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe chizi sana ujue? Yani ktk maswali yote umekumbuka yale tu? [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Cheupe + Kichwa Niffah Ni Cheupe na Kichwa ni The BoldHili swali huwa namuuliza sana,ukisikia wajuzi wa mambo ndio The bold sasa.
Halafu ukimuona huwezi kudhania kabisa,dah kuna watu wamebarikiwa akili bwana [emoji119]
Mkuu wengine tunakosa utamu huu,tupandishie basi episode au tupe post number toka Episode ya 14..pls[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sio kweli hana mpinzani,watunzi wapo wengi na wazuri tu labda kama ww umezoea za Shigongo tu.Sema ni mmoja wa watunzi wazuri.[emoji109]Cheupe + Kichwa Niffah Ni Cheupe na Kichwa ni The Bold
Nimeamua nitoboe siri Tu nyie watu ni hatari lakini salama nashindwa niwaelezee vipi ila naona mnaweza endesha hata ndege Boing 717 bila kupata mafunzo yoyote yale bila Niffah hakuna The Bold Bila The Bold Hakuna Niffah Na nimewahi kuwaza kitu flani Ety niko tayari kughalamia hii movie hadi nifilisike kuileta kwenye uhalisia ila nikapata maswali mengi tena kwenye akili yangu........... Nikiendelea sana nitaropoka siri nyingi zaidi haya bhana Ukweli usemwe tu The bold Huna mpinzani kwenye Level za Uandishi hapa Tanzania Tumekaa tukaaminishwa kina E Sh: kumbe wapo Wengi Tu na kwa Humu JF Inabidi Tukutengee tu uishi pekee ako sio kwa kujua huku jamani
Salute
Staki ushabiki maandazi kaka kila mtu ana ufahamu wake wa kuchambua mambo so nina vigezo vingi vya kumpa U King the Bold hapa Tz so kama ujajua nasema nini hutojua pia nitasema niniSio kweli hana mpinzani,watunzi wapo wengi na wazuri tu labda kama ww umezoea za Shigongo tu.Sema ni mmoja wa watunzi wazuri.[emoji109]
Woooww!! [emoji87] [emoji87] [emoji87]Cheupe + Kichwa Niffah Ni Cheupe na Kichwa ni The Bold
Nimeamua nitoboe siri Tu nyie watu ni hatari lakini salama nashindwa niwaelezee vipi ila naona mnaweza endesha hata ndege Boing 717 bila kupata mafunzo yoyote yale bila Niffah hakuna The Bold Bila The Bold Hakuna Niffah Na nimewahi kuwaza kitu flani Ety niko tayari kughalamia hii movie hadi nifilisike kuileta kwenye uhalisia ila nikapata maswali mengi tena kwenye akili yangu........... Nikiendelea sana nitaropoka siri nyingi zaidi haya bhana Ukweli usemwe tu The bold Huna mpinzani kwenye Level za Uandishi hapa Tanzania Tumekaa tukaaminishwa kina E Sh: kumbe wapo Wengi Tu na kwa Humu JF Inabidi Tukutengee tu uishi pekee ako sio kwa kujua huku jamani
Salute