Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Salaam zimefika mkuu,bila shaka nitakuja na bwana mkubwa panapo majaaliwa.
Nashukuru sana [emoji120]
 
Mambo ya kishamba hayo,,,majina ni just fictions tu na The Bold keshasema toka awali, sasa kiherehere cha nini kurelate majina au ndo tukuone mjuaji??
 
Nashukuru sana kwa pongezi Mkuu musacha.. Tayari nimekuongeza kwenye taglist

Nitajihidi uko mbeleni nione kama itawezekana kuweka episode Tatu kwa wiki ila kwa sasa tutaendelea na utaratibu huu wa episode mbili kwa wiki.!

Tuombe kheri, siku moja Mwenyezi Mungu akitupa kibali nitakuja Tatime na bibie Nifah
 
Mambo ya kishamba hayo,,,majina ni just fictions tu na The Bold keshasema toka awali, sasa kiherehere cha nini kurelate majina au ndo tukuone mjuaji??
Mkuu sikuwa nimeona ile warning ya The bold..! Nimeekuja kuiona nikiwa nimeshaa comment..!

You don't need to use all those bitter words...! Stay relaxed..!
 
jamaa katuyeyusha....haya andika kitabu tununue, si ndo ulivyoamua kutu beep
 
jamaa katuyeyusha....haya andika kitabu tununue, si ndo ulivyoamua kutu beep
Acha kuropoka ropoka hovyo..

Episode 1 iko post # 1

Episode 2 iko post # 282

Episode 3 nimesema inatoka j'pili.. Lalamiko lako ni nini??
 
Acha kuropoka ropoka hovyo..

Episode 1 iko post # 1

Episode 2 iko post # 282

Episode 3 nimesema inatoka j'pili.. Lalamiko lako ni nini??
Nisamehe mkuu kumbe ulishapost...ila sasa naitafutaje hiyo post no 282, yaani hapa nahangaika kuitafuta sijui nianzie wapi? ushamba huu nao
 
Nisamehe mkuu kumbe ulishapost...ila sasa naitafutaje hiyo post no 282, yaani hapa nahangaika kuitafuta sijui nianzie wapi? ushamba huu nao
Nenda pale mwanzoni kwenye ile Episode 1 (post # 1) mwishoni kabisa utakuta link imeandika "soma episode 2 post # 282" . bonyeza hiyo link itakupeleka moja kwa moja post # 282 (Episode 2)
 
kaka niliomba uwe unanitag ukasema poa ila naona umenisahau tena aisee
 
kaka niliomba uwe unanitag ukasema poa ila naona umenisahau tena aisee
Daah Mkuu mboja jina lako lipo hapo, ina maana hulioni?? Hebu angalia kwa makini hapo katikati jina lako limeambatana na @ mkoroshokigoli alafu mbele yake kuna @ king easy
Nimekutag mkuu..

Sema notification naona siku mbili hizi zinazingua..
 
ni kweli mkuu hawajaleta notification ila shukrani sana,story ni tamu sana aisee
 
Bado umenisahau
 
Kuna jamaa mla bata tu pamoja na demu wake, unaweza kumchukulia kawaida kumbe ana siri nzito ndani yake na ndie mlengwa mkuu wa Ray kuingizwa kwenye mkakati ili kuleta ushirikiano mzur na baba bite.... Ni mawazo yangu tu
Maana kazi wanazofanya hazilingani na bata zao... Finca na Customer Care.. Hizo nyumba wamekaa tiss
 
sijui nisemeje but kiukweli hii hadithi imekuwa nzuri kutokana na ujuzi wa KICHWA The bold.mkuu hamna kitu kigumu kama kuwazuia watu wasitaje assumption zao sababu kuu ni kwamba story inawatengenezea picha flani katika ubongo kiasi cha kusisimua na ku solve puzzle mbalimbali kwa kuunganisha dots automatical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…