Asante sana the bold nimekuelewa mkuuKuanzia Episode 1 - 25 zote ziko humu... Bofya vinukta vitatu vinavyoonekana juu pale kulia kisha chagua "Search" alafu andika Episode unayoitaka na kisha search...
Kuanzia Episode 25 - 41 ziko kwenye website www.jamiiforums.com ... Shuka mpaka chini kabisa kisha chagua category "Short Stories"
Picha yangu mbona sio siri... Watu wengi tu wanayo... Nilishawekaga mara nyingi sana huko whatsappHivi una picha ya the bold nataka nimfahamu
Woyoooooo... usisahau kuni tag mkuuLeo jioni saa 8:00 PM Tutazindua msimu wa pili wa Simulizi ya VIPEPEO WEUSI
Kumbe mwezi wa sita tayari?Duh siku zinakwendaLeo jioni saa 8:00 PM Tutazindua msimu wa pili wa Simulizi ya VIPEPEO WEUSI
Zinakimbia haswaKumbe mwezi wa sita tayari?Duh siku zinakwenda
Tayari mkuuTumeshazindua au bado
Mkuu ymezidua wap? Hum au kulee?Tayari mkuu
Ipo kwa tovutiMkuu ymezidua wap? Hum au kulee?
Naomba link mkuuIpo kwa tovuti