Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #441
Jumamosi???Nimeipenda stori nilitaman nifike mwisho duuuu jmamos mbali
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] honey you crazy Wallah [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tafadhali nitag pia mkuuNiwie radhi Mkuu.!
Tayari nimeongeza jina lako kwenye taglist
Sawa Mkuu.. TayariTafadhali nitag pia mkuu
Asante
Naomba na mimi unitag pia mkuuSawa Mkuu.. Tayari
Tayari! Mbona toka Jana nimeongeza jina lako kwenye taglist.. Angalia utalionaNaomba na mimi unitag pia mkuu
HahaahahaahMkuu The Bold leo kwangu ni Jumapili tayari. Pressure inapanda. Hahaha. Siku njema na tunashukuru.
Mkuu ulisahau kunitag. Anyway ya kesho naomba unikumbuke.Hahaahahaah
Bila shaka Mkuu! Nimeshaongeza jina lako kwenye taglist..Mkuu ulisahau kunitag. Anyway ya kesho naomba unikumbuke.
Bila shaka Mkuu! Nimeshaongeza jina lako kwenye taglist..
Naomba namimi mkuu unitag.Nafuatilia sana makala zako pamoja na hii series iliyobandikwa jamviniSawa Mkuu.. Tayari
Bila shaka Mkuu! Nimeshaongeza jina lako kwenye taglist..
Sawa Mkuu! Tayari nimeshaongeza jina lako..Na mimi pia kiongozi
Naona the bold na nifah wamekuwa kama wale jamaa mla bata na demu wake wanavyo wa-attack watu hapo juu(joke)
Kwani kuna shida gan mtu kufanya assumption na kizuri zaid ushasema ni story ya kutunga.
Samahani lakini mi nasema tu maana nifah akija huko nitatafuta pa kutokea