[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji7] [emoji7]Wewe nae ndio nini kuturusha roho hivi jamani?
Sio kwa mbwembwe hizi...
Ila hii story ni ya aina yake,kwa kumbukumbu zangu sijawahi kuona story yoyote humu JF ikiwa na teaser...I like it.
Wajua mimi ni shabiki wako wa kutupwa,mambo kama haya ndio nazidi kukukubali.
I got your back babe [emoji8] [emoji8]
#TheBoldIsMine#
yes nadhani ni vizuri mods wakizipandisha pale page ya kwanza.. ila zisikae kwenye post moja.. ingekuwa vizuri post # 1 ikae episode 2, post # 2 ikae episode 2 na kuendelea..
mods tusaidieni kwenye hilo.. JamiiForums Maxence Melo Mod 1 Mod 2 Mod 3 Mod 4 Mod 5
Nitaipataje episode ya 2 jamani nielekezenii
Nenda pale mwanzoni kwenye ile Episode 1 (post # 1) mwishoni kabisa utakuta link imeandika "soma episode 2 post # 282" . bonyeza hiyo link itakupeleka moja kwa moja post # 282 (Episode 2)
Mkuu episode 3 ni Jumapili ya leo au wiki ijayo?
Episode 3 ni leo Jumapili, jioni itakuwa hewani..Mkuu The Bold nimejichanganya. Nilifikiria ni Jumapili hii nimekaa kusubiri naona patupu. Eeeh kweli hii movie chezea hengine sio hapa.
Pale mwishoni mwa episode 1 (post # 1) kuna link inayokupeleka moja kwa moja post # 282 kwenye episode 2Mkuu episode 2 lini?
naomba uwe una ni tag napenda sana simulizi zako
2017 wenye mafanikio kwako. The bold
Shukrani sana Mkuu! Leo jioni Episode 3 itakuwa hewani..THE BOLD NATHANI LEO NI JUMAPILI MAANA NIMEAMKA SAA KUMI NA MBILI ILI NISOME
ILA KAZI NZURI Hongeraaa
UNI TAG BASI