You guys leo mmeamua [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najisikia aibu kupata hadithi tamu hivi alafu sitoi hata shilingi kumi....
Naomba usini tag mkuu...
Ni sehemu ya burudan pale ninapoikuta kwa suprise tu...napata msisimko wa aina ake
Mkuu the Bold, na mimi pia nitag.Bila shaka Mkuu! Nimeshaongeza jina lako kwenye taglist..
Nasubiri udambwi udambwi mkuuJioni Mkuu..
Sikuwahi kuhisi kama mashabiki wa Madale wanaweza kuandika kitu kizuri namna hii.
Nilikuwa nasoma zile makala zako za Ulaya,America na Asia nikawa nahisi zile hazina ufundi wowote zaidi ya kubadili lugha tu na kucheza maneno kutoka kwenye vyanzo vyako vya kiingereza.
Sikuwahi kukubali kwa kiwango kikubwa namna hii.
Ila kwa hii kitu nasema RASMI nimekuelewa mkuu..wewe ni mtunzi Hodari ongeza juhudi na bidii naweza kuja kukuweka kwenye list yangu pembeni ya Hussein Issa Tuwa,Beka Mfaume,George Mosenya na Sultan Tamba watunzi wangu mahiri wa kizazi hiki.
niffah
Hahahah nadhani kuna tatizo la notification. Ila hii chenga ya leo kali sana. Yaani niko jukwaa la intelejinsia kumbe mambo yako huku.Nimeshangaa nakukutag kote huku lakini sikuoni mwanabodi.. [emoji1]
Hapa nakuunga mkono dada angu sina tatizo na wewe ila ufanye mambo yetu Msondo na Mkoleni umtoe shemeji kule M"UJANJA UJANJA FC "AJE" kwetu "MZIKI MZURI"Kaka yangu mpendwa mzaramo, nashukuru umeona sasa ni kwanini dada yako nimedata kwa huyu kijana.
Huenda hukunielewa mwanzo, lakini sasa majibu unayo.
Shemeji yako sio mtu wa mchezo mchezo, ni kichwa haswaaaa [emoji119]
Raisi anampenda mke wangu ndio riwaya nzuri zaidi kutoka kwa Shigongo zilizobaki zote zikawa za kusadikikaBonge moja la story Kiongozi(The Bold)!!!
Kama inawezekana fanya mpango wa kuitengenezea film!
Hongera kwa utunzi mzuri wa hadithi mpaka nikahisi wewe ndiyo Shigongo wa ''Rais anampenda Mke Wangu'' hahaha......
Hakika MkuuRaisi anampenda mke wangu ndio riwaya nzuri zaidi kutoka kwa Shigongo zilizobaki zote zikawa za kusadikika
Why didi you kill me.patricia nayo ilikuwa bomba sanaRaisi anampenda mke wangu ndio riwaya nzuri zaidi kutoka kwa Shigongo zilizobaki zote zikawa za kusadikika
yes nadhani ni vizuri mods wakizipandisha pale page ya kwanza.. ila zisikae kwenye post moja.. ingekuwa vizuri post # 1 ikae episode 2, post # 2 ikae episode 2 na kuendelea..
mods tusaidieni kwenye hilo.. JamiiForums Maxence Melo Mod 1 Mod 2 Mod 3 Mod 4 Mod 5