Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Ooooopppsss there you are.
Nadhani hiyo ya Patricia ni ile ya yule dada mrembo mwenye kifafa,isn't?
Huyo ni caroline, mjukuu wa derrick. Part 2 ya rais anampenda mke wangu. Jina lake nimelisahau
 
Vuta subira,yupo anaindaa namuona hapa yuko busy ktk PC yake.
Soon anashusha mzigo.

#TheBold's
Ayo ndo mambo ya kusikia shemu letu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Vuta subira,yupo anaindaa namuona hapa yuko busy ktk PC yake.
Soon anashusha mzigo.

#TheBold's
Ashushe tuu, tumekaa attention kuipokea, kama mafundi wa tanesco vile walivo tayari kupokea nguzo ya umeme
 
Huyo ni caroline, mjukuu wa derrick. Part 2 ya rais anampenda mke wangu. Jina lake nimelisahau
Damnit! How come nasahau mambo kama haya jamani?
Dah!
Kweli maisha yamejua kunibadilisha,sikuwa nikisahau chochote hapo kabla!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Reactions: Lee
Jaman namimi naomba niunganishwe ili nipate mwendelezo maana leo ndo jumapili
 
Napita tu, e3 ikipandishwa toa taarifa kwa namba 911 nitakuja mara moja
 
....Ivi Jamani Kile Kitabu Cha Erick Shigongo Kinaitwa SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU nani anaweza hata kua na link yake anitumie[emoji120] [emoji120]

Miss those days [emoji41] [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…