Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #681
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee The Bold ubarikiwe sana...sasa ngoja nimfate Nifah wangu kitandani manake nahisi keshanuna..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu atuweke kesho tena tujue kinagaubaga
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana kamanda!though you finally made it to your people...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inshallah! Ila Nifah amenuna leo kutwa nzima niko na hii episode.. Nimeandika mara ya kwanza The Board wakaidukua! Ikabidi niandike upya.. Nimemdhulumu sana 'mda wake' leo.. [emoji17]
Hapa napanga pozi la kumbembeleza
Episode 3 nishapost! Cheki pos # 655 (page ya 66)Dogo leo umezingua?
Nazikubali harakati zake....akijitaidi nitamuweka kwenye list yangu ila kwa sasa hawa wananikosha zaidi kwa kizazi hiki labda na Ibrahim Gama kidogo.Unamsahau vipi kamanda amata?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inshallah! Ila Nifah amenuna leo kutwa nzima niko na hii episode.. Nimeandika mara ya kwanza The Board wakaidukua! Ikabidi niandike upya.. Nimemdhulumu sana 'mda wake' leo.. [emoji17]
Hapa napanga pozi la kumbembeleza
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana kamanda!though you finally made it to your people...
Mimi nifah wangu inabidi niingie room kwa staili za kina Amitab barchan..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ilibidi tu nifanye vile, sio kwa kununa kule.! Ungeweza kuniwekea 'mogomo' wiki nzima..Anhaaaaaaaa kumbe ndio maana umenifanyia vileeeee.
Ila nashukuru kwa kuona kuwa ulinidhulumu muda wangu nawe baby.
Nimekusamehe [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenikumbusha The bold juzi aliniimbia kuch kuch hotai nilicheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawe tumia hiyo mbinu mkuu,Nifah wako atacheka tu.
Wathungu wanasema hiviiii:Umenikumbusha The bold juzi aliniimbia kuch kuch hotai nilicheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawe tumia hiyo mbinu mkuu,Nifah wako atacheka tu.
Sawa mbee meku!Ngoja nishike shilingi.