johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Ndo nimeshangaa hata na mm badala arikwesti hela ya kiroba cha dona yy anataka chipisi yai, au pengine akiwa far from ndo msosi wake huo,Hakuna kitu napiga kelele kama hicho,nimesema hadi basi.
Ila uzuri sio daily,anakula mara chache sana.
Huyu ni mzee wa dona kwa sato [emoji4]
Tatizo lako unalala sana jana haukuwa online nikaogopa kukushtua nisije haribu ndoa za watu,[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hujambo aiseeee
Huna lolote si ungeniamsha tu uone kama sitaamka,leo niko busy kinyama aiseee hata hadithi sijaisoma, ikiendelea ww nitag tu usikate tamaa nikitulia nitasoma, ahsanteTatizo lako unalala sana jana haukuwa online nikaogopa kukushtua nisije haribu ndoa za watu,[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] baba bite Leo umeongea point japo ni weak[emoji120][emoji120][emoji120]Ehh MUNGU naomba the board wadukue tena laptop ya shemeji kazi anayoiandaa apandwe na hasira kesho atume tena, [emoji120][emoji120][emoji36][emoji36]
Hhahaaha ningeiweka ile deep kabisa yy na dada etu wangetuwekea mgomo baridi, wacha hii hii inamtosha, [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] baba bite Leo umeongea point japo ni weak
Bwanaaabwanaaaah ...ila shemu anatupenda sana ukiona anaanza kuonekana ujue mzigo unashukaa soonHhahaaha ningeiweka ile deep kabisa yy na dada etu wangetuwekea mgomo baridi, wacha hii hii inamtosha, [emoji23] [emoji23] [emoji23]
    Ndoa tamu bibie shauri yakoHuna lolote si ungeniamsha tu uone kama sitaamka,leo niko busy kinyama aiseee hata hadithi sijaisoma, ikiendelea ww nitag tu usikate tamaa nikitulia nitasoma, ahsante
OMG!Am proud of my man,hii ndio raha ya kuwa na Le Akili kubwaz mbebezzz u knowmkuu The bold yafaa nikuite 'kichwa' zaidi ya miez 13 natembelea majukwaa ya jf sikuwahi kuota nafukunyua Entertainment. nilipenda zaidi siasa, mchanganyiko, photo, ujasiriamali na matangazo madogo hadi nilipoona TRENDING. lkn pia ulinikosha kwenye makala za madawa ya kulevya. hakika nilipitwa na mengi. asante sana kwa kunirudisha kundini. cc. nifah
Dada kashanitonya muda wake ni 2 au 3 kasoro so kidogo imenisaidia kucontrol arosto yangu, nahangaika siasani na intelejensia mchana ikifika saa moja moja ndo natia maguu,Bwanaaabwanaaaah ...ila shemu anatupenda sana ukiona anaanza kuonekana ujue mzigo unashukaa soon
Hahahahaha sitaki kucheka bwana im too tired ujue    Ndoa tamu bibie shauri yako
Usijali mda wake nimeshaujua saa mbili mbili to tatu tatu nitakucheki,
Mwandishi wa Jason Bourne siyo?Mkuu kama ukipata muda pitia Novel za Robert Ludlum:
1. The Bourne Identity;
2. The Bourne Supremacy;
3. The Bourne Ultimatum; na
4. The Bourne Legacy.
Zina madini sana kwa hizi andishi zako mkuu, hutakosa kuongeza kitu nakuhakikishia.
Mwandishi wa Jason Bourne siyo?
HaswaaaaMwandishi wa Jason Bourne siyo?