Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Naomba link ya episode 4
 
Mkuu The Bold tumeshakuwa addicted ha hii movie. Sasa itaendelea lini? Mkuu nakupa 5. Hongera sana ngoja nimuombe Nifah wako ani inbox. Najua ana mkanda mzima. Hahaha.
Cc Nifah
 
mi shida yangu sio kichwa kukamatwa, namuwaza CHEUPE tu. siamini kama jua la saa 6 lilikimaa kabla hajapata mrith......! kufa kufaana najua akiba 'baba bite na tony mzee wa bata hawachelewi kujifanya wanamsaidia cheupe kumbe' shemeji shemeji huku wazina taa'. Sifa nyingi kwako mkuu The bold. ishi siku nyingi dunia ikufaidi kwa kazi za kalamu yako
 
Mkuu The Bold zifanye hivi hivi fupi fupi, zikiwa ndefu na Episode yenyewe imewekwa saa tatu usiku! Unaweza kukesha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…