wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,130
Pmoja sana Mkuu! Shukrani..cc The bold kheri ya mwaka mpya mkuu kwa mara nyingine tena
Bila mtu wa pili ugomvi hauanzi, hivyo hivyo pasi wewe tusingepata story ka hii free Hongera mkuu Mwenyizi MUNGU akuruzuku afya njema miaka tele
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] baby you crazy Wallah!
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
I'll be there
Ahsante mkuu kwa kunitag ubarikiwe sana uwe na mwaka mwema wenye mafanikio tele, nimejisikia Amani kutambuliwa na watu wazito ndani ya JF km ww
Shukrani sana Mkuu!Ahsante mkuu kwa kunitag ubarikiwe sana uwe na mwaka mwema wenye mafanikio tele, nimejisikia Amani kutambuliwa na watu wazito ndani ya JF km ww
Amen! Shukrani Mkuu..KAZI juu ya KAZI. Ubarikiwe mkuu.
Hahahaha!! Nahisi inabidi niwe najitahidi katikati ya wiki nitupie walau episode moja..Bado siku ngapi ifike j'mosi?
Hahahaha!! Nahisi inabidi niwe najitahidi katikati ya wiki nitupie walau episode moja..