kisale wakisale
Senior Member
- Dec 18, 2016
- 158
- 204
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Episode 5
Baada ya kuingizwa kwenye gari nkawakuta jamaa wengine wawili walovalia mavazi yanayofanana na wale walonikamata
Nkajidai kuwahoji kwani nmefanya nn hadi kunikamata vile?Jamaa mmja akanijbu kwa usalama wangu natakiwa kutulia tuu lkn endapo nitafanya kinyume na hapo ntawajua wale n kina nani
'Nkajidai kufoka kidume nyie wapuuzi wakubwa naomben mniambie nyie ni kina nani jamaa mmja akaniambia unataka utujue sisi ni kina nani?
Nkamjbu ndio hapo hapo nkashtukiwa nmenaswa bonge ya kofi hadi nkaona nyota na punde si punde nkaishilia kwenye usingizi wa ajabu,mara nkaanza kuota wamemkamata Isack wamemtesa sanaaa,pia haikutosha wakamkamata na cheupe wangu
Salaleeee roho ikapitwa kuona jamaa wamemchukua ka moyo mashine kangu
Hahahaha
Itaendelea baadae
Kupata hadithi hii tafadhali tuma neno Bold kwenda namba 001 Nifah
Nifah nataka niweze kusoma muendelezezo wa story ya vipepeo weusi nafanyaje au ndo had uonganishwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Episode 5
Baada ya kuingizwa kwenye gari nkawakuta jamaa wengine wawili walovalia mavazi yanayofanana na wale walonikamata
Nkajidai kuwahoji kwani nmefanya nn hadi kunikamata vile?Jamaa mmja akanijbu kwa usalama wangu natakiwa kutulia tuu lkn endapo nitafanya kinyume na hapo ntawajua wale n kina nani
'Nkajidai kufoka kidume nyie wapuuzi wakubwa naomben mniambie nyie ni kina nani jamaa mmja akaniambia unataka utujue sisi ni kina nani?
Nkamjbu ndio hapo hapo nkashtukiwa nmenaswa bonge ya kofi hadi nkaona nyota na punde si punde nkaishilia kwenye usingizi wa ajabu,mara nkaanza kuota wamemkamata Isack wamemtesa sanaaa,pia haikutosha wakamkamata na cheupe wangu
Salaleeee roho ikapitwa kuona jamaa wamemchukua ka moyo mashine kangu
Hahahaha
Itaendelea baadae
Kupata hadithi hii tafadhali tuma neno Bold kwenda namba 001 Nifah
Salute!The Bold I salute you(Kichwa)
Amen [emoji4] [emoji120]Nifah jmn,aya bwana Ila upendo wenu udumu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] c ww hapo unatubania tufanyeje ss[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unazingua [emoji35] [emoji35]
Mwenyewe kaishasema mpk kesho Leo kidogo tutulie na familia zetu simu tuweke pembeniHivi episode 5 imenipita au……?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jumatano mkuuHivi episode 5 imenipita au……?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahaha mpaka movie linaisha ugomvi ndani ya majumba ndio utapungua[emoji13] [emoji13]Mwenyewe kaishasema mpk kesho Leo kidogo tutulie na familia zetu simu tuweke pembeni
Utanideshi basi[emoji101] [emoji101]Jumatano mkuu
Mkuu mbona Mimi unitag?naomba na mim niwe kwenye tag list yakoNitakutag Shunie
Poa usijaliUtanideshi basi[emoji101] [emoji101]