Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

siyo mtu wa mchezomchezo aiseee ni mzee wa kitengo tena inaonekana rank yake niya juu kiasi fulani hv
Ebhanaaaa eheeeeeeh natamani barabara ifungwe kwa mda kama nusu saa niipitie yote mkuu make mida ya kutoka kugufurika ...anyway ntafika
 
Asante mkuu

Nadhani hili ni jukumu la mods mkuu,asante.
 
 
Pamoja mkuu.
Poleni na changamoto za ujenzi wa taifa.
Tuko pamoja sana.
 
Mkuu The Bold itaendelea lini? Tafadhali tujulishe ili nipate amani na niweze kutulia na kufanya shughuli zingine.
 
Kijana umeeleweka ngoja nipigie vijana wangu warudi.

CC: Charles wangwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…