Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mimi nitamuomba Producer ( the Bold) niwe Tony(afisa mikopo FINCA na demu wangu awe Grace(Mfanyakazi wa Tigo)
Wale majirani zake wala bata proffesional..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa unacheza scene chache lakini za bata la nguvu..!
Club, swimming, kuna kwa kitanda....[emoji28][emoji28][emoji28]
Afu pia si unajua Tigo wanaajiri Watoto Visuuu....! So lazima nilitewe visu kama vile vya Tigo...
Wakuu nitakuwa Tony mla bata [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa! Hapana mkuu! Hiyo kitu sipendi...Kila ka heri mkuu ila tigo isiwe 071
Usinifanyie hivyo Clkey weweMoyo sukuma damu........
Unaona ss ww ushawaza kwingineHahahaaa! Hapana mkuu! Hiyo kitu sipendi...
Too short but epic scene!...![emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue wewe nshakuelewa hutak ufike mwisho wa series ila utakapoonekana lazima ufanye madhara
Hahahahaa! Mkoroshokigoli njoo mchukue shemela mkuu...!Unaona ss ww ushawaza kwingine
Moyo ni MULTIPURPOSE UJUE [emoji307][emoji177][emoji178][emoji179][emoji738][emoji173][emoji176]Moyo sukuma damu c vinginevyoooo akhaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaa! Mkoroshokigoli njoo mchukue shemela mkuu...!
Anazingua[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli mkuu, timiza ndoto yakoMafanikio huanza na ndoto [emoji42][emoji42][emoji42]
Bado hadi mwaka 2019Wadau episode ya 6 ya vipepeo bado haijatoka?
[emoji121] [emoji121]Bado hadi mwaka 2019
Ahaa utani kasema jumamosi
Kwel mkuu, yaan unaanza kuionja mbingu huku huku dunianiMkuu mimi nitamuomba Producer ( the Bold) niwe Tony(afisa mikopo FINCA na demu wangu awe Grace(Mfanyakazi wa Tigo)
Wale majirani zake wala bata proffesional..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa unacheza scene chache lakini za bata la nguvu..!
Club, swimming, kuna kwa kitanda....[emoji28][emoji28][emoji28]
Afu pia si unajua Tigo wanaajiri Watoto Visuuu....! So lazima nilitewe visu kama vile vya Tigo...
Wakuu nitakuwa Tony mla bata [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa! Wala mkuu...kawaidaKwel mkuu, yaan unaanza kuionja mbingu huku huku duniani
Si unamuonaga hata James Bond, hua anaigizaga na visu vya hatar na kama sehem za bata basi ni bata kweliHahahaa! Wala mkuu...kawaida
Mkuu una namba yake huyu kiumbe