johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
mkuu unaisemaje? kwanza story yake umielewa?Shooter tv series naiangalia ila sijui kwa nini sina mzuka nayo kiivyo. Sijui kwa sababu niliiona movie yake. Kuna series nyengine inaitwa designated survivor ni nzuri sana mambo hayohayo ya FBI
Poa Fanya Hivyo mkuuLabda nikutumie link mkuu udownload ni simple tu hata kwenye simu unafanya
HhahhahaaTumuombeeni sana mkuu The Bold awe na siha maana story yake inanifanya machungu ya kudaiwa hela ya kodi ya nyumba.
Nakutumia PM tusijaze uziPoa Fanya Hivyo mkuu
Natanguliza shukrani za dhati kabsa kutoka moyoni.
Wewe iangalie hiyo ni nzuri kuliko shootermkuu unaisemaje? kwanza story yake umielewa?
Enewei maoni yako hayo ngoja niicheki hyo designated survivor
Usiache kunitag kaka mkubwaJumamosi wakuu,
Episode 6, itakuwa hewani jumamosi..
Unaelewa mada ilipoanzia mkuu? sisi wengine hatuna uswahili kama wako mkuu jiheshimuMnaoingiza habari zenu za series jiheshimuni..tafutaneni PM...mnatujazia tu Uzi..shwaiin...
Bila shaka Mkuu..Usiache kunitag kaka mkubwa
Sawa Mkuu..mkuu nitag
Sawa Mkuu..
Jumamosi..vp episode 6 ushaweka
Kama hajaedit kwenye episode ya 5 basi alimaanisha kuanzia episode ya 6 ndio kutakuwa na mabadiliko hayo.Mkuu The bold mie sijaelewa vizuri pale kwenye kubadilisha majina ya wahusika maana mie naona ndio yale yale
Na mimi naomba nijibiwe hili,mkanganyo wangu ulikuwa huo huo.