Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Yeah ni kweli,ila njia walizomfata The Board na SERIKALI zinatia shaka,kwa sababu THE BOARD hawajamshirikisha 100% na serikali ni kama ina act inamsaidiaIla Ray naye mwepesi sana..huo ukichwa wake bure kabisa..yani akitikiswa kidogo tu anaongea kila kitu!!
Na mimi naomba nijibiwe hili,mkanganyo wangu ulikuwa huo huo.
Utakuwa umesoma kipindi nimeshayabadilisha tayari..
Shukrani sana Mkuu..Cjawahi kupitwa na chochote kutoka kwako Barikiwa sana nakupenda mno msalimie Tiffah
Kama unamaanisha mimi...Cjawahi kupitwa na chochote kutoka kwako Barikiwa sana nakupenda mno msalimie Tiffah
Usijali mkuu,karibu na shukraan kwa salaam.Sorry Mama nilimaanisha wewe Ahsante kwa kunirekebisha kumbe cko pekee yangu
Shwain mwenyewe.ukisikia roho mbaya ndio hii. Mbali na hii hadithi.humu kuna chatting na utani wa hapa na pale mwingi tu.ila hili dogo tu ndio ndio umeona utoe kasoro.Mnaoingiza habari zenu za series jiheshimuni..tafutaneni PM...mnatujazia tu Uzi..shwaiin...
Sorry Nifah umekua spokeswoman wa The Bold??Wapendwa wetu...
Kuandaa story yahitaji muda wa kutosha,na bwana mkubwa The bold yuko busy na majukumu ya kikazi.
Anajitahidi sana kiukweli kubalance mambo.
Lakini mkumbuke mwisho wa siku nae lazima atafute mkate wa family,vuteni subira jama...jumamosi sio mbali [emoji4]
Asanteni.
#TheBold's
Thanx mkubwa naenjoy coz napenda story
Upo sahihi japokuwa utamu ukikolea watakuendelea......tunamruhusu atafuta riziki na cheupe wake asikose matunzo...aendele kung'ara kama mnavyomwona[emoji12]
Sawa! Nitakutag Mkuu..Mkuu The bold heshima yako naomba uwe unitag mimi ni mpenzi mkubwa wa habari kama hizi.Mara ya Mwisho kusoma story nzuri kama hii ni ile ya Penniela iliyoletwa na mkuu LEGE .Chondechonde the bold hakikisha unanitaggggggggggggggg!!!!!!!!!!!!!!!
Nami pia naomba usinisahau mkuu sana The BoldSawa! Nitakutag Mkuu..