Mkuu edger nazipata wap hizi riwaya?The bold ananikumbusha riwaya za marehemu Elvis Musiba na Ben Mtobwa.
Ila kwa zama hizi yupo mkongwe Hussein Issa Tuwa, yeye anajiita bingwa wa riwaya za taharuki, yaani hapo msomaji unabaki na taharuki zisizosemeka. Mkipata nafasi tafuteni na msome riwaya zake kadhaa hamtajuta asee, nina dedicate kwenu vitabu hivi ambavyo nimeshavisoma tayari [emoji116]
1. Usiku wa 9/12 ( 1&2)
2. Mkimbizi
3. Mdunguaji
4. Mtuhumiwa.
Na pia story hizi sijui kama ameshatoa vitabu vyake [emoji116]
1. Miss Tanzania
2. Mtafiti
3. Bondia
Na sasa nipo mkao wa kula nasubiria kitabu kingine (kipo jikoni) kinaitwa "Kilio cha gaidi"
Ni hatari sana aisee.
Kinondoni block 41 kuna duka lao linaitwa Kona ya riwaya. Kazi zake nyingi zipo hapo.Mkuu edger nazipata wap hizi riwaya?
Hawa watu sijui hawaelewagi cjui n nn basi ahaaaMkuu umeamua kufanya hvi au hujui kama unatukera?
Bora mm sikuangalia kumbeThe Bold njoo tuwekee utamu japo nipunguze hasira za kulambishwa ma ice cream jana usiku
Afadhali yako mkuuBora mm sikuangalia kumbe
Si ungenistua nije nikubembeleze?Afadhali yako mkuu
Jana uliwahi sana kulala nkaona nisikusumbueSi ungenistua nije nikubembeleze?
Hivi mkuu kitabu cha mtuhumiwa kilishatoka??Kinondoni block 41 kuna duka lao linaitwa Kona ya riwaya. Kazi zake nyingi zipo hapo.
Niliwahi kulala wakati nilichelewa kufika home? na simu haikuwa na chaji so sikuiwasha kabisa usikuJana uliwahi sana kulala nkaona nisikusumbue
Nami nmechanganyikiwa bado, aha kufungwa kubaya sanaNiliwahi kulala wakati nilichelewa kufika home? na simu haikuwa na chaji so sikuiwasha kabisa usiku
Yeah, tangu mwaka jana katikatiHivi mkuu kitabu cha mtuhumiwa kilishatoka??
Basi achana nayo, muamshe Nifah na shem walete utamuNami nmechanganyikiwa bado, aha kufungwa kubaya sana
Niwaache wanafanya nini kwani? [emoji23] [emoji23]Waache kwanza bwana bado mapema
The Bold njoo tuwekee utamu japo nipunguze hasira za kulambishwa ma ice cream jana usiku
Zina utamu wake ila ss ulambe kwa kupenda ww na c kulazimishwa mkuuTatizo unapenda kulamba cone