Tena ni mbali sana, yaani kwa upande wangu imebidi nikumbushie enzi za shule, nimeorodhesha siku kwenye karatasi na ninapunguza siku moja moja.Itabidi nijitahidi niwe naweka episode mbili kwa wiki (moja katikati ya wiki na moja jumamosi)..
Naona wengi wametoa maoni kama haya kuwa jumamosi ni mbali..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena ni mbali sana, yaani kwa upande wangu imebidi nikumbushie enzi za shule, nimeorodhesha siku kwenye karatasi na ninapunguza siku moja moja.
umewaza la mbolea mkuu....[emoji85]Hahahaha!! Nahisi inabidi niwe najitahidi katikati ya wiki nitupie walau episode moja..
utaisomaje sasa na muda huo kwenye shughuri za hiyo id yako....[emoji1] [emoji1] ...(just a jokes mkuu).....Hii stori sijaisoma nai save kwanza hadi saa sita usiku nitaisoma nikiwa safarini
Shikilia mkuu usiachie ,Yaniiiiiii huyu kijana ataniua Wallah,sio kwa kunidatisha humu.
Maana hizi simulizi zake ndizo zilizonifanya nivutiwe nae...na anazidi kuuwasha moto namna hii!
Niombeeni waungwana [emoji23] [emoji85] [emoji120]
Weeeeee huyu ni wangu wa maisha,simuachii hadi hapo kifo kitakapotuachanisha.Shikilia mkuu usiachie ,
Akina naniluuuu wanammezea mate[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ukilegeza tu watamdaka.
Hongera kwa kulitambua hilo.Weeeeee huyu ni wangu wa maisha,simuachii hadi hapo kifo kitakapotuachanisha.
Hivyo ondoa shaka Mkuu,najua jinsi ya kumshika [emoji6].
Asante shemela,nawe pia.Hongera kwa kulitambua hilo.
Shem nakutakia siku njema
Mkuu umetunga wewe??
Watu mnavipaji aisee, SOTE HUB
Huu utunzi bila shaka km mtunzi ni wewe kuna mambo yako ndan
May b CHEUPE.ni nifan naota tuu
Nilikuwa nasikiliza ile ngoma ya longiiiiii Fabulous ft. Neyo - You Make Me Better..Weeeeee huyu ni wangu wa maisha,simuachii hadi hapo kifo kitakapotuachanisha.
Hivyo ondoa shaka Mkuu,najua jinsi ya kumshika [emoji6].
Awwwwww nafurahi kusikia hivi baby,ni moja kati ya goals zangu.Nilikuwa nasikiliza ile ngoma ya longiiiiii Fabulous ft. Neyo - You Make Me Better..
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Shukrani sana Mkuu kwa ushauri na pongezi..Mkuu The bold asante sana kwa muda wako unaojitolea kutupa simulizi zilizojaa maarifa bila malipo yoyote.
Kuna wadau waliwahi kusema uanze kutoa vitabu, mimi nafikiri ni wakati sasa uangalie uwezekano wa kufanya movie au tamthiliya (ingawa inaweza kuwa ngumu) maana huu utunzi ni wa kiwango cha lami.
Na mimi pia ninaomba uwe unanitag katika post zako mkuu maana nilikuwa nasubiri kule intelligence kumbe vitu vina-happen huku.
Shukrani..Safi sana hii kitu
Safi sana ka mkubwa mbali na kitabu unaweza kufanya mengi pia kupitia hiki kipaji chako jaribu kuongea na wadau mbalimbali.Shukrani sana Mkuu kwa ushauri na pongezi..
Tuombe Mungu, this year nimepanga kuachilia kitabu kimoja walau..
Sent from my V5 using JamiiForums mobile app