Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Basi Sawa bro
Sijasahau lile swala lako.! Nilitingwa kidogo ndio maana sijasema nawe.. Kama bado unahitaji tuzungumze naomba tufanye hivyo kesho jioni nitakuwa na wasaa mzuri..

Sorry kwa ukimya..
 
Noted with thanks,
Cc Clkey
 
Mkuu@ The Bold. Sisi ni binaadam na tuna madhaifu. Wameona madhaifu yao na nataraji kuanzia dk hii wamejifunza. Nashukuru kwa kuwaeleza kila mmoja na madhaifu kwani in the future hawatatoa comments bila kurudia kusoma. Sio kwao tu hapana na kwetu pia tumejifunza kitu. Wasamehe na nawatakia weekend tulivu. Be blessed all.
Cc Mkuu Nifah.
 
Sijasahau lile swala lako.! Nilitingwa kidogo ndio maana sijasema nawe.. Kama bado unahitaji tuzungumze naomba tufanye hivyo kesho jioni nitakuwa na wasaa mzuri..

Sorry kwa ukimya..
[emoji109] [emoji109] [emoji109] amna shida me nakuaminia mzee baba[emoji1]
 
The Bold mm sio mpumbavu labda wewe.. Jifunze kukubali kukosolewa..acha siasa nyingi shusha mzigo
 
Nikutafute kwa hiyo no.au??
Cheupe huyo, Ray atalianzisha!
====
He! Hivi Moderators wamefunga matumizi ya tag kwenye uzi!? The bold amenitag akijibu pendekezo langu si kuona! Mkuu The Bold, honestly, si kuwa na ill motive wakati napendekeza usubiri wiki Tatu! Nia ilikuwa ni njema kabisa kwani niliona ukikosa 'consistance 'ya kutimiza ahadi wafuatiliaji wanaweza kukereka.Mim Hivyo ili kuondoa hilo nikaona ujipe muda.Kiukweli burudani ninayoipata kwenye uzi huu ningependa wote tuipate, hivyo nikaona kuna jambo la kukwamisha hili 'na react promptly '. Kumradhi kama nimereact vibaya na kupelekea kukuudhi.
=====
Ila hilo la Kubadili characters naona ni story nyingine! Kwa hiyo, Tujiandae kumkosa Zephania, Bernad, na wengineo!
 
The Bold mm sio mpumbavu labda wewe.. Jifunze kukubali kukosolewa..acha siasa nyingi shusha mzigo
Mkuu ungekaa kimya tu wala usingepungukiwa na pesa kwwnye acc yako, sometimes hekima ni bora kuliko pesa, hatupo mahakamani hapa tuseme mshindi atapatikana.
Cool down nigga! story kesho nchana.(in konde's voice)
 
J
 
Pamoja mkuu,unajua hii kitu imeshakuwa kama ngada kwa Chid benz,sasa inapokosekana in time mateja wake alosto inatuua,all in all big up for the good job,salam kwa mtoto mzuri Nifah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…