Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mimi ni mmoja wao na kile kingine kinaitwa utata wa9/12
 
Uwiii halafu nilikuwa hata sijfahamu kama nimetuma hyo namaba. Nisameheni bure hz smart phone ni majanga. Msije msumbua mwenye namba maana hata sijui ni ya nani. Hata ukuiniuluza nimwtumaje hyo namba sifahmu.
Eeeerrh!! Mpaka unaandika tarakimu zote kumi ulikuwa unawaza nini?

Wacha kutuzingua !
 
Pole kwa maswaibu......by the way mi sioni shida hata ukikawia kuleta kwani tunakulipa?
Hilo la kubadili majina ya wahusika ni kweli aisee maana yalikuwa wazi na direct sana kama vile unaongelea watu fulani katika jamii
Duh hivi kumbe we na Nifah ni kiukweli ukweli.....duh Hongera!!

Kila la heri mkuu ukipata wasaa iweke ila si kwa mashinikizo ya humu we ukiwa na nafasi muda utakaotaka wewe!!
 
2D seismic data.Asante kichwa umegusa kwenye field yangu geology/geophysics.Ingawa siku hizi 3D and 4D ndo zinatumika sana kufanya seismic data interpretation."seismic stacking velocity" uko deep sana The bold Mungu akubariki.
 
I salute you the bold..

Ila nimependa kitu kimoja tuu katika hii episode...

Kuna ubaya kwenda duka la scolastica kununua novel...?

Mimi napenda sana novel mkuu..,nadhani kesho nitapita na buku 2000 pale scolastica [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itaendelea leo saa mbili usiku..

Mkuu msalimie Dada yangu Nifah!

Jana alikuwa na hasira hata sikutaka kumsemesha! Awapuuze members wengine !ndivyo walivyo mioyoni mwao..

I hope she is doing alright!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unampa elfu mbili alafu akikwambia hela haitoshi unamjibu "kuna hela yangu iko hapa" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…