Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Duh hivi kumbe we na Nifah ni kiukweli ukweli.....duh Hongera!!

Kila la heri mkuu ukipata wasaa iweke ila si kwa mashinikizo ya humu we ukiwa na nafasi muda utakaotaka wewe!!

[emoji1] [emoji1] yes its serious between me and her! Sio utani wala drama za JF.. Jiandae kuja kula pilau one day... Tuombee

And nishaweza episode 6 iko post # 1656
 
Mods, shukrani sana kwa kutusaidia kweka links za episodes pale mwanzoni na hasa kuziweka juu kabisa mwanzoni mwa post # 1 kama wengi walivyokuwa wanatamani..

Naomba pia mtusaidie kuweka link ya episode 6 ambayo imetoka mda si mrefu.. Episode 6 iko post # 1656

Shukrani!


Cc Maxence Melo, JamiiForums, Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4, Mod 5
 
Pole mkuu kwa majukumu....usijichoshe sana ukashindwa kutimiza majukumu ya kifamilia[emoji13]
 
The Bold as usual I salute u.
Saa mbili itakua poa sana mda huo lvrpool tutakuwa tushampiga Man u 2 za nguvu
Mkuu unataka kuharibu thread! Weka maneno ya akiba...! [emoji41][emoji41]
 

mbn hujanitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…