Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

mkuu The bold hakuna mtu unaemuamini uumpe kazi hiyo ya kuandika humu maana wengine tunaspeed ya kusoma kama ndo kazi yetu😀 epsod ya 1 mpk ya 5 nilimaliza kwa masaa kadhaa tu sasa hiyo moja moja duh!!! kama nadodosa tu...
 
The bold. Binafsi nashukuru. Mafunzo mengi na siyo ya kusadikika tena. Ni ya ukweli kwangu mimi. Wenye fasihi wazidi kuogelea.
Asante. Cc mkuu Nifah[emoji106][emoji106][emoji106]kwa support yake kwako.
 
wakuu msaaada tutani, hii episode ya 6 siioni na link iliyopwekwa juu sio clickable naomba mtu anitag niione tafadhali.
 
Cc Public Enemy.
 
Mkuu The bold umesahau kunitag tena dah.....na uliniahidi please do the needful mkuu.Otherwise thank you.
 
bonge la hadithi.safi sana mkuu the bold.
 
WAKUU EPISODE 6 IMETOKA MUDA TU TANGU SAA 12 ASUBUHI

TAZAMA POST # 1656 (KAMA UNATUMIA APP KWENYE SIMU NENDA PAGE YA 166)

Episode 7, inaendeleo leo hii pia saa mbili usiku..
Naomba kurudia ombi la kunitag ili nisipitwe na hii hadithi
 
Mkuu The bold why imebadilika from Kilombero na Kilosa, to Kilombero na Pangani?
Hiki kitalu kinafahamika kama Kilombero-Kilosa Block.. Ni eneo la zaidi ya kilometa za mraba 17,000. Linagusa maeneo yote ya kilombero na kilosa.. Ndio maana mda mwingine kitaku hiki kinaitwa kilosa, mda mwingine kinaitwa kilombero na mda mwingine kinaitwa Kilombero-kilosa..


Pia serikali huwa inatoa vitalu vilivyopo katika bonde la ufa kwa kampuni moja.. Na kwa sasa tuna vitalu viwili, Kilombero-Kilosa na Pangani..
Kwahiyo mmiliki wa kitaku cha Kilombero-Kilosa ndio pia mmiliki wa Kitalu cha Pangani..

Ndio maana katika simulizi unaona Quebec Energy, anaelezwa kuna mahali kuwa ni mmiliki wa kitalu cha kilombero na mda mwingine anaelezwa kuwa ni mmiliki wa kitalu cha Pangani..

Hiyo ndio sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…